Nicole
JF-Expert Member
- Sep 7, 2012
- 4,274
- 2,514
PIPOOOZ....source lara 1
jamani mada hii nimeidownload kwenye blog flani ya kulee, si wajua mambo ya blue monday ofic inaboa wakubwa wako kwenye vikao so kupass time tunazuga na ishu ka hizi.
nimecopy na kupaste as it is:
Chezea miaka hii ya kuchakachuana na kuchukuliana poa,Vimada kila kona kudadadekiiiii hujali maumivu ya mwenzio,Kilio cha Mwenzio na machungu ya Ndoa kila siku,Uvumilivu sawa hatujakataa ila Wakishatuoa wanatuona Vinyago vya Skauti ndani,Mkishaachana anajirudi atajirekebisha na mambo mengi potelea mbali uonekane Hujatulia kuliko JAKAMOYO Na Maumivu kisa ashajua unampenda wale wanaojifanya wana MAHABA Wako wapi?Ngumu kudumu kuna msemi 1;NIPENDE NITAKUPENDA,NITHAMINI NITAKUTHAMINI,UKINIZINGUA NAKUZINGUA SABABU HATUJAJA DUNIANI KUPATA KARAHA TUNATAKA RAHA.
hivi ndoa za leo ni haya yasemwayo hapa juu tu ama kuna the other side? wenye experience naomba mtoe views zenu jameni!!