Sio mbaya tukijikumbusha Wachezaji waliokuja Ligi Ya Tanzania na Kuchemka

Mkata umeme
umeelewa swali la mleta mada?

anasema kuwa 'wachezaji waliokuja na wachachemka'

sio wachezaji waliokuja na wakachelewa kuonyesha kiwango mapema kwenye klabu zao.

kwa jinsi ulivyojibu basi una haki ya kumjumuisha BOSSOU.
 
mavugo jaja jama mbaa serunkuma
Jaja hajachemka mkuu! waulize Azam.

aliondoka baada ya kutolidhishwa na mazingira ya mchezo wa soka hapa Bongo.

mtu kaiwezesha Yanga kubeba Ndoo ya Ligi na Ngao ya hisani na bado unamuweka kundi moja na Mavugo? unashangaza sana!
 
jamaa alitupia goli mbili classic sana dhidi ya Azam ila kwenye ligi alishindwa kutamba japo alipewa nafasi sana na Maximo.
 
nikumbusheni chochote kuhusu mark sirengo
Huyu jamaa alikua na Spidi kama Boxer akimpita beki tuu kakodi toyo au aandika maumivu kati ya fowadi wazur Simba kuwapata.

Nakumbuka kuna Game moja Ya Simba na Yanga ilichezwa Zanzibar Yanga Anakufa Nne Sirengo aliwafanya beki za Yanga kulala na Viatu
 
Serunkuma wawili, Komalmbil Keita, Hillary Echesa, Donald Musoti ( sio Ngoma ), Pierre Kwizera, Jerome Ramathakwane, Ousainou Manneh, Donald Musoti, Mussa Mude na Ndusha, Ezechwuku , Derick Walulya , Gervas Kago, Jerry Santo, Samwel Ssenkoom, Abell Dhaira ( RIP ), Kiongera, Yaw Berko na Hamisi Kiiza(waliachwa na Yanga), Blagnon(yupo oman), Patrick Ochan, Kervin Ndayisenga, Justice Majabvi, Papa Niang(alirudia airport), Majwega, Daniel Akufor(goli moja tu la penalty ) Papa Ndaw(hirizi kiunoni) Angban(kisa African Lyon)
Hao wengine matataja wenyewe.
Weng sana umechapia, simon selunkuma? Mosoti?
 
Ochan? C tulimuuza mazembe yule? Ndayisenga? C aligoma hela ndogo? Alifanya majaribio akafunga na kufunga
 
Serunkuma wawili, Komalmbil Keita, Hillary Echesa, Donald Musoti ( sio Ngoma ), Pierre Kwizera, Jerome Ramathakwane, Ousainou Manneh, Donald Musoti, Mussa Mude na Ndusha, Ezechwuku , Derick Walulya , Gervas Kago, Jerry Santo, Samwel Ssenkoom, Abell Dhaira ( RIP ), Kiongera, Yaw Berko na Hamisi Kiiza(waliachwa na Yanga), Blagnon(yupo oman), Patrick Ochan, Kervin Ndayisenga, Justice Majabvi, Papa Niang(alirudia airport), Majwega, Daniel Akufor(goli moja tu la penalty ) Papa Ndaw(hirizi kiunoni) Angban(kisa African Lyon)
Hao wengine matataja wenyewe.
Majabvi? Khaaaa wawap ww?
 
Yaw Berko na Kiiza waondoe mkuu
 
Back
Top Bottom