Sio kweli chakula cha Rais lazima kipimwe kabla ya kuliwa

Umbea wa Polepole ni nini hapo!?
Unyenyekevu wa binadamu ni moja ya nguzo bora sana maishani. Mwanadamu aliyekosa Unyenyekevu mara nyingi huwa amejawa na kutawaliwa na Kiburi, Ujuaji, Uzandiki, Unafiki, Ushirikina, Chuki, Wizi/Uporaji, Uzinzi n.k. Na Dini zote zinatufundisha tuwe WANYENYEKEVU.
Kumshikia mtu dafu tena kwa dar hapana mkuu hiyo haijakaa poa, wazaramo watatucheka,
 
Mimi ninachojua madafu huwa hayalali. Mtoa mada unasema yanakaaa hata wiki??

Lakini pia chakula Cha rais hupimwa Kama kimewekwa sumu, ndio maana lazima mtu ale Kwanza.

Lkn Kama ananunua barabarani atawekewa sumu saa ngapi??

Mtaani anakula tu

Lkn huyu mbaba huwa hajali chochote anajifanyiaga Mambo hovyohovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Kweli Hata Mie ningemshikia dafu Au Hata ku brush viatu Na sijaandika kwa Chuki Kama ulivyodhani nimeandika kuonesha modern mode of Slavery

Sio ngazi ya Rais Hata Ngazi ya Ukurugenzi wapo wanapokea Mabosi wao Mabegi wakishashuka Kwenye Magari japo sio Madereva wala wahudumu wa Ofisi

Bila ya Unafiki Maisha hayaendi vyema
Sijadhani una Chuki kama ulivyoipokea, bali nimetumia neno CHUKI kama form of speech and general Perspective in a society we live in.
Achilia mbali wakurugenzi, mimi binafsi nikiingia kwenye himaya yangu kila aliye chini yangu huwa anahangaika na kupambana na hali yake ili "Boss Uchwara" nisikereke nafsi kwa utovu wa nidhamu. So kwangu mimi binafsi hili ni suala la Unyenyekevu na nidhamu zaidi ya kujipendekeza na kujikomba. Ni mtazamo wangu na Haki yangu kikatiba kujieleza kwa Uhuru uliotamalaki Unyenyekevu na Nidhamu bila Woga, Unafiki, Uzandiki n.k.
 
Kumshikia mtu dafu tena kwa dar hapana mkuu hiyo haijakaa poa, wazaramo watatucheka,
Kuna tofauti kati ya mtu na mtu mwenye madaraka na nguvu kama Rais au kiongozi wa Nchi.
Mimi na Wewe ni watu....lakini Mh. Rais wa JMT ni mtu mwenye madaraka mazito sana na kauli yake inaweza kuamua kama uendelee kuishi au hapana. Nafikiri utakuwa umenielewa.
 
Kulikuwa na urongo unaenezwa chakula cha mh Rais lazima kipimwe tena lazima ale MTU mwingine kabla yake..

Magufuli amethibitisha sio kweli,km mnakumbuka alikula kwenye mgahawa mwanza,Jana kala dafu adharani bila kutest MTU wala kupimwa.

Mi najua madafu uwa yanakaaga wiku3 hayajauzwa na kwavile hayajakomaa maji yake yanavunda hivyo ni raisi kuumwa tumbo..ila mh hakujali ilo wala hakuwaza madafu ni ya lini..

Tuache kudanganyana acheni urongo urongo....

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee
Yani kitu kidogo kama hiko kimekushinda kuelewa

Ok ni hivi kina testiwa tu endapo kama kuna uwakika kuwa atakuja kula.sasa kule mwanza hakuna aliyejua rais ataenda kula pale na hata hayo madafu so ni vigumu yawe na sumu. Ila kama ingejulikana kuwa ana ratiba ya kuyala yange testiwa
 
Vitu ambavyo Rais kabla ya kula lazima vipimwe Ni vile vya kupikwa kwa Mazingira Kama ya hotel Au event maalum kuepuka sumu Ila sio Kila anachokula lazima kipimwe

Mie kilichonifurahisha sio Rais kula dafu bali kiherehere Cha Humphrey Polepole kushikilia dafu wakati Rais anakunywa Maji ya dafu!

Watu tunajua Sana kuji pendekeza kwa Kweli

Na Gerson Msigwa kaiweka Kwenye page yake ya Instagram kuonesha maana ya Unyenyekevu kwa Mkuu wa Dola

Ila Pia Nimejifunza kitu Kuwa Ndugu Rais Magufuli huwa anatembea Na Fedha Mfukoni tofauti Na Jakaya ambae kuna Siku 2006 nusura adhalilike ambae akiwa Mtaa wa Samora ilipo NBC Samora akiwa Kwenye Ziara ya kutembelea zilizokuwa ofisi Za Idara ya Misitu alikatiza Ombaomba ambae akamuomba Fedha Na Jk bila ya hiyana akazama mfukoni akajipiga 'sachi' Sana akakosa pesa ndipo Mpambe wake akaokoa Jahazi kwa kutoa Za kwake Na kumpa Rais amabe akamkabidhi pale pale.
Mobutu amewahi kwenda hotelini ulaya na familia yake sasa wamekula na kumaliza wanataka kulipa ili waondoke mobutu anatafuta brief case ya pesa ili alipe haioni kumbe mkewe ameichukua akaenda kufanya shopping
Ilibidi ampigie simu then rais na familia yake wakae pale wamsubiri mke wa rais aje kulipa ndio waondoke.
 
Kulikuwa na urongo unaenezwa chakula cha mh Rais lazima kipimwe tena lazima ale MTU mwingine kabla yake..

Magufuli amethibitisha sio kweli,km mnakumbuka alikula kwenye mgahawa mwanza,Jana kala dafu adharani bila kutest MTU wala kupimwa.

Mi najua madafu uwa yanakaaga wiku3 hayajauzwa na kwavile hayajakomaa maji yake yanavunda hivyo ni raisi kuumwa tumbo..ila mh hakujali ilo wala hakuwaza madafu ni ya lini..

Tuache kudanganyana acheni urongo urongo....

Sent using Jamii Forums mobile app
hicho ni chakula cha kushitukiza hakuna mtu aliyewaza kumzuru mkuu kupitia dafu na kama kuna vidudu mwenzio anapimwa kila siku atapata matibabu kabla hata hao wadudu hawajaanza kuzaana
 
Usilolijua ni kama usiku wa Giza ndugu.
Yule muuza madafu unafikiri ni hawa wauza madafu wa mtaani!? Rais wa JMT hawezi kula mtaani hovyo...system iko hivyo tokea kwa Rais wa Awamu ya kwanza.

Kuna picha zilishawahi zunguka humu JF zikimuonyesha jamaa mmoja aliyekuwa akiuza madafu mjini kumbe alikuwa ni mwanakitengo na sasa hivi anahudumu katika Chama tawala.
Kuna picha nyingine ilimuonyesha Makamu wa Rais Kenya Mh. W. Rutto akila mahindi ya kuchoma barabarani, yule muuza mahindi kumbe alikuwa ni mmoja wa walinzi wa Mh. Rutto na picha ziliwekwa akiwa kazini na Makamu wa Rais.

Yote yawezekana. Anaweza fanya kitu kwa kustukiza maana hapakuwa pamepangwa hivyo sio rahisi kudhurika. Na pia muuzaji anaweza pangwa ili kuulaghai umma kuwa kala mtaani.
 
Hivi Rais kutembea na hela ni kosa?
Au kwenye katiba amezuiwa?
Acheni ungiri bana.
Dafu nalo mnataka lipimwe wakati muuzaji kashtukizwa tu.
Kupima labda wanapima chakula kinachoandaliwa kwa ajili ya Rais.
Lkn sio chakula cha ambush.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitu ambavyo Rais kabla ya kula lazima vipimwe Ni vile vya kupikwa kwa Mazingira Kama ya hotel Au event maalum kuepuka sumu Ila sio Kila anachokula lazima kipimwe

Mie kilichonifurahisha sio Rais kula dafu bali kiherehere Cha Humphrey Polepole kushikilia dafu wakati Rais anakunywa Maji ya dafu!

Watu tunajua Sana kuji pendekeza kwa Kweli

Na Gerson Msigwa kaiweka Kwenye page yake ya Instagram kuonesha maana ya Unyenyekevu kwa Mkuu wa Dola

Ila Pia Nimejifunza kitu Kuwa Ndugu Rais Magufuli huwa anatembea Na Fedha Mfukoni tofauti Na Jakaya ambae kuna Siku 2006 nusura adhalilike ambae akiwa Mtaa wa Samora ilipo NBC Samora akiwa Kwenye Ziara ya kutembelea zilizokuwa ofisi Za Idara ya Misitu alikatiza Ombaomba ambae akamuomba Fedha Na Jk bila ya hiyana akazama mfukoni akajipiga 'sachi' Sana akakosa pesa ndipo Mpambe wake akaokoa Jahazi kwa kutoa Za kwake Na kumpa Rais amabe akamkabidhi pale pale.
Kwa akili yako unavyofikir kwahy prezidaa hakuwa na kitu mfukoni/mtonyo/ngawira?? Hizo busara za jk kuwahadaa km hana kitu mfanane nae kwa muda!
Hii incidence alimkanya mpk mondi wakati kapiga picha na maburungutu na pesa akitambia @ig,mzee akamwambia unajenga chuki na raia ambao hata kula yao shida na hao hao ndo mashabiki wanaojinyima kukusapoti leo wanaona unawakejeri kwa kuwaringishia haipendezi#busara za jk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sizani kma ni maigizo, kma madafu kanunua kweli, hela kalipa watu wakunywa maji ya madafu free!!
ila ukichukulia kisiasa ndo mtaanza uchambuzi wenu sasa, wana ccm watachambua kivingine, chadema nao watachambua kivyao, na vyama vingine nao warachambua kivingine
Lkn ukweli ni tukio dgo tu, kanunua madafu 40 kwa tsh elfu 40. Basi
yale ni maigizo kwa nyie wanakijiji msio weza kufikiria kwa kina...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom