Kumshikia mtu dafu tena kwa dar hapana mkuu hiyo haijakaa poa, wazaramo watatucheka,Umbea wa Polepole ni nini hapo!?
Unyenyekevu wa binadamu ni moja ya nguzo bora sana maishani. Mwanadamu aliyekosa Unyenyekevu mara nyingi huwa amejawa na kutawaliwa na Kiburi, Ujuaji, Uzandiki, Unafiki, Ushirikina, Chuki, Wizi/Uporaji, Uzinzi n.k. Na Dini zote zinatufundisha tuwe WANYENYEKEVU.