Sio kweli Asilimia 21 ya ajira za Muungano kupewa Zanzibar

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,432
3,011
This is jokes, kama kweli asilimia 21 kupewa wa Zanzibar, tunataka majeshi yote yalipo Zanzibar yaondoke ambao ni Watanganyika na waajiriwe wazanzibari, najua ni less than ya asilimia 21.

Vijana wenye sifa wapo, tuache siasa viongozi.
 
Hawa Jamaa wangepewa 0.1%.

Maana ni wabaguzi wao wakitangaza ajira zao huwa wanataka kitambulisho cha Unzazibar.
Kweli mkuu. Jamaa wabaguzi sana tu. Angalia hata kwny viwanda na meli za azam. Kama huna KISWAHILI CHA CHOKOCHO. Au MFEREJI MARINGO....kazi hupati
 
Teh! Teh! Teh! Teh! Teh!

Wanataka kiswahili cha "mchamba wima" na "mwembe basha"

Ukiwa na kiswahili kigumu kama hiki cha sisi wa Iringa, Njombe, Shinyanga, Mwanza hupati kazi.......!!!!!!

Hawa jamaa wabaguzi sana.
 
Angalia azam marine. Utanielewa. Tu. Kuanzia ofisini dar hadi CHOMBONI. WATU wa KIEMBE LADU. watupu. Na KISIWA NDUI.NA KIEMBE SAMAKI NA KIEMBE LADU. . kama mm ni muongo nipige NJUKUTI. ndy kiswahili chao hicho. NJUKUTI maana yake FIMBO..
 
Unataka ww au wanataka wananchi wa zanzbar ...?
Any way sijui kama wakuu wa hii nchi wamekusikia.
 
Zanzibar haina viwanda, haina ardhi ya kutosha kwa kilimo, na zile wizara ambazo zenye kutoa ajira kubwa ndio zimechukuliwa na muungano kama ulinzi.
 
arbabu nyie si bado mnautaka muungano!!acha viongozi wako watafute mbinu za kudumisha muungano bwana,we unazani kama hawajafanya hivyo watatulizaji hasira za wazenji,ambao wamekuwa hawaioni faida ya muungano miaka nenda rudi....?!
 
Hawa Jamaa wangepewa 0.1%.

Maana ni wabaguzi wao wakitangaza ajira zao huwa wanataka kitambulisho cha Unzazibar.
Sio ubaguzi boss wangu ila ni mbinu ya kufanya wazanzibari ambao ni wachache sana waweze kunufaika na ajira zao,mana nafac zenyewe zinatangazwa moja au mbili kwenye taasisi,sasa unategemea waruhusiwe watanganyika wakabanane hapo hapo pia?si dhulma hiyo ni lazima uwe mzanzibar ili upate kazi ktk serikali ya mapinduzi zanzibar (SMZ).

hii inaitwa positive discrimination na sio ubaguzi kwa dhana ya negative,lengo ni kuproctect the interests of few educated zanzibaris...
 
Umenena mkuu
 
This is jokes, kama kweli asilimia 21 kupewa wa Zanzibar, tunataka majeshi yote yalipo Zanzibar yaondoke ambao ni Watanganyika na waajiriwe wazanzibari, najua ni less than ya asilimia 21.

Vijana wenye sifa wapo, tuache siasa viongozi.
  • Kwanza kabisa nabisha hodi kwenye hili jukwaa la watafuta ugali
  • Hiyo asilimia 21 ya ajira Zanzibar hupewaga (hasa UHAMIAJI)
  • Ingawa asilimia 21 ya ajira za taasisi za muungano kupelekwa Zanzibar ni upendeleo mkubwa kwa sababu Zanzibar haifikii hata asilimia 5 kwa Tanzania katika idadi ya watu, eneo la kijografia, isitoshe Zanzibar hawa gharamii chochote
 
This is jokes, kama kweli asilimia 21 kupewa wa Zanzibar, tunataka majeshi yote yalipo Zanzibar yaondoke ambao ni Watanganyika na waajiriwe wazanzibari, najua ni less than ya asilimia 21.

Vijana wenye sifa wapo, tuache siasa viongozi.
  • Pia nakataa kata kata wazo la kuwaacha wazanzibari pekeyao kwenye ofisi za taasisi za muungano zilizopo Zanzibar, hasa majeshi, kwenye taasisi nyingine kama BOT, TRA tulishaboronga
 
Back
Top Bottom