OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 51,969
- 114,267
Nasema haya kwa uchungu sana.Tunaona vita dhidi ya ufisadi inavyokwama na kujawa na double standards.Tunaona jinsi wabunge wa CCM mara kakamatwa na rushwa mara pembe za ndovu.Ufisadi ndio damu ya CCM,ukikata ufisadi CCM inakufa kwa kukosa damu.Nitajie mbunge wa CCM ambae hakumwaga mapesa kununua ubunge.Wanafiki wakubwa mmetawala 50yrs eti leo wanashangaa ufisadi umetokea wapi.Mmekiri hadharani awamu ya nne ilikosa dira,hiyo awamu ilikuwa chini ya UKAWA eeh!!Wengire midomo mirefu kumkandia Kikwete na walikuwa mawaziri na hawakujidhuru.Nasema wazi SIO KILA FISADI NI CCM,ILA KILA CCM NI FISADI .Itoke CCM kwanza nchi ipumue,tumechokaaaaa