Sio kila dhambi na adhabu yake zimeandikwa kwenye vitabu vitakatufu....

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,947
10,819
hapa mtaani kwetu kuna kiroja kimetokea
usiku wa kiuamkia leo. Jamaa wana
kikundi chao cha kupiga chabo, kazi yao ni
kuzunguka kwenye magesti na kuangalia
watu wakipekenyuana.
Sasa kuna gesti wakawa wameenda,
jamaa akawa wa kwanza kupiga chabo,
wenzake wakawa wanataka na wao
waone kinachojiri.
Jamaa akawa mkali kwelikweli
akiwakatalia wenzake wasione.
Mmoja wao akamuuliza kwanini
hutupishi? Jamaa alkajibu ahh noma wana
mama yuko humu ndani.
 
Back
Top Bottom