Sio kila aina ya nguo inamfaa kila mtu, kaptula inawafaa watu wafupi

Yeah, I meant compliment.

I am among those people getting mixed with those two words. Kuanzia sasa sitalokosea tena hilo neno.

Thanks once again brother. I am working on your advice you gave me when we chatted a couple of months ago.
RAS Simba in action...
 
Wakuu.

Sio kila aina ya nguo inamfaa kila mtu, kuna mawazi ya yanawafaa watu wenye maumbile flani na mengine hayawafai watu wenye maumbile flani.

Wanaume warefu kaptula hazitufai, hizi zinawafaa zaidi watu wafupi, vile vile jeans, suits, cardets zinawafaa zaidi wanaume warefu, mathalani vazi la suit halikudesigniwa kwa ajili ya watu wafupi, hili shorties mnalibaka ndio maana mtu unakuta anafanana na gunia la mkaa.

Tujaribu kuheshimu mavazi na maumbile yetu, sio kila vazi linamfaa kila mtu. Usione kwa kua mtu fulani kavaa vazi flani akapendeza basi na wewe utamani kua kama yeye, angalia kama mnaendana kiumbo.

Tusipende kulazimisha mambo yawe jinsi tunavyotaka.

Ahsante.
Kaptula zinawafaa watu watupi kwasababu ndio suruali zao
 
Huu mkuki una ncha kali mno na Umerushwa kunako GIZA TORORO, ngoja tusikilizie
 
Na kila mtu na aishi awezavyo na apendavyo,apendeze asipendeze haipaswi kukuhusu.
Kumbuka tunatofautiana katika mambo mengi sana mkuu.....!
 
Hapo pa jeans, suti, kadeti kwa watu wafupi umeharibu mkuu... Nadhan hujawahi tuona watu wafupi in our quality tumetupia suti na tumetoka chicha ile mbaya halkadhalika jeans na kadeti pia..
Watu wafupi(ila sio mbilikimo) aina nyng ya mavazi yatupendeza tofauti na nyie miTALL...

Wafupi wote OyeeeeeeeeeH.......!!
Lakini kiukweli suti hazijawah mlendeza Rais Mwinyi.
 
Watu wafupi/ urefu wa wastani ni hanger bwana , hata uvae gunia lazima upendeze
 
Back
Top Bottom