Sio Kenya pekee, Duniani kote na WHO yalazimika kumuiga Rais Magufuli

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
WHO and World Countries May Follow Magufuli Style Despite COVID-19 Threat

c7692d30840070df55e2532c765eb259

The World Health Organization (WHO) gave directives to countries to ease strict restrictions which they have put in place to combat the spread of COVID-19. This measures have paralyzed almost all activities in the world including world economy.

From the look of things, this disease is not ending any soon because there is no vaccine or cure found for this Covid-19. The disease has spread worldwide affecting every single country. Most of the countries went under total lockdown where church services were closed, learning institutions and even business activities.

b1ef76613b62c02cff61795aaf8310c0

Tanzania is one amongest the countries in the world which never responded by introducing lockdown. President John Pombe Magufuli said that all business activities will run like normal, churches will remain functioning so that people can pray for God's intervention.

Most of the world countries are looking up to following Tanzania's idea of opening their business activities and other activities which were paralyzed. This follows the World Health Organization (WHO) directives to country members to ease strict measures.

bb306c4a6c140ddefcb5da30e3b43bc1

President Magufuli had once proposed that Tanzania Premier League to resume so as the people can get entertained. Now most of top world football Leagues have resumed while others are yet to resume although without fan in the field.

Covid-19 still remains a world pandemic till it's cure is found. Although countries are looking forward to opening up for economic development, some measures will remain in place to try combating this Covid-19.

16e536b0593f94be6d4e768f8d7620a0

These measures include social distancing, wearing of masks and many others. Now it will be a personal responsibility of every person to keep themselves safe from this pandemic.

----

MY TAKE: Magufuli atabaki katika vitabu vya kumbukumbu hapa duniani, kuwa rais pekee wa Africa aliyetikisa na kuigwa na dunia nzima.
 
“Nadhani wenzetu wana ajenda ya siri kutuhujumu kiuchumi, tumeshakubaliana dereva anapopimwa upande wa Tanzania aruhusiwe upande wa Kenya kwa cheti, sasa wamekiuka makubaliano, wakifika upande ule wanataka wawapime tena sijui wana maana ipi nashindwa kuwaelewa kabisa, tumeamua kuchukua hatua na haturudi nyuma,” alisema.
Who is the BOSS? 😂
 
“Nadhani wenzetu wana ajenda ya siri kutuhujumu kiuchumi, tumeshakubaliana dereva anapopimwa upande wa Tanzania aruhusiwe upande wa Kenya kwa cheti, sasa wamekiuka makubaliano, wakifika upande ule wanataka wawapime tena sijui wana maana ipi nashindwa kuwaelewa kabisa, tumeamua kuchukua hatua na haturudi nyuma,” alisema.
Who is the BOSS?
Kutumia picha ya JPM kwenye avatar yako ili uonekane ni MTZed is a poor strategy.

We all know you are an impostor like Madeleine Stowe:)

Perhaps, you should have changed your ID as well...
 
Ngoja watuige na kubadilisha katiba/sheria zao ili wasishitakiwe wakifanya uhalifu
1. Rais
2. Speaker
3. Mwanasheria mkuu
 
joto la jiwe,

Kuna kitu ambacho magufuli kafanya ofcourse ni kikubwa na lazma tumpe pongez ila si kwamba wazo hili mataifa mengne hawakuwa nalo la hasha ukiangalia covid 19 wa uchina,america na europa ni aliyekuja huku tanzania kuna utofauti mkubwa sana na si hilo tu virus mechanism evolution iliyotokea kumekuwa na utofaut sana,pia nadhan hata geographical condition na nature yetu africa dhid ya virus wa mafua, so kama rais kwa aina ya virus waliokuja bongo muda waliokuja hawakuwa na threat the same na nchi nyngne hii imetusaidia kuapply “herd immunity” ambayo ni kama survive for the fittest kama kuna watu watakufa na wengne watapona,watakaopona wataimprove body immunity zao na maambukiz yatapungua hii ni hatua ngumu zats y ikaendana na kuficha ukweli wa takwimu wengi wamekufa wakuu na wengi pia wamepona na bado watu wanakufa na corona so mm naomba kama unajijua afya mbovu take precautions as much you can
 
Kuna kitu ambacho magufuli kafanya ofcourse ni kikubwa na lazma tumpe pongez ila si kwamba wazo hili mataifa mengne hawakuwa nalo la hasha ukiangalia covid 19 wa uchina,america na europa ni aliyekuja huku tanzania kuna utofauti mkubwa sana na si hilo tu virus mechanism evolution iliyotokea kumekuwa na utofaut sana,pia nadhan hata geographical condition na nature yetu africa dhid ya virus wa mafua,, so kama rais kwa aina ya virus waliokuja bongo muda waliokuja hawakuwa na threat the same na nchi nyngne hii imetusaidia kuapply “herd immunity” ambayo ni kama survive for the fittest kama kuna watu watakufa na wengne watapona,watakaopona wataimprove body immunity zao na maambukiz yatapungua hii ni hatua ngumu zats y ikaendana na kuficha ukweli wa takwimu wengi wamekufa wakuu na wengi pia wamepona na bado watu wanakufa na corona so mm naomba kama unajijua afya mbovu take precautions as much you can
Ukizungumza mambo ya kisayansi kama haya, ni lazima uwe na ushahidi wa kisayansi, kuhusu aina ya virusi na hali ya hewa, vinginevyo itabaki kuwa ni maneno tu ya mtaani.
 
“Nadhani wenzetu wana ajenda ya siri kutuhujumu kiuchumi, tumeshakubaliana dereva anapopimwa upande wa Tanzania aruhusiwe upande wa Kenya kwa cheti, sasa wamekiuka makubaliano, wakifika upande ule wanataka wawapime tena sijui wana maana ipi nashindwa kuwaelewa kabisa, tumeamua kuchukua hatua na haturudi nyuma,” alisema.
Who is the BOSS?
Mnasema madereva Wa tz wanakorona kumbe ni hasira za kunyimwa chapa ya ksh2000 mm nilitaka kushangaa VP wakenya wazuie watz kuingia Kenya mbele ya rushwa.
 
Back
Top Bottom