Sio kama hatuelewi most of us we were stunted........... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sio kama hatuelewi most of us we were stunted...........

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sokomoko, Nov 19, 2010.

 1. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Habari zenu wanaJF,

  Kwa kipindi kirefu sasa nimekuwa nikifatilia hoja mbalimbali ziletwazo hapa jamvini, katika kupitia huwa nakutana na replies ambazo kusema ukweli zinasikitisha sana. Majibu ya post nyingi yanakuwa ya jazba na anaejibu anakuwa kama mtu asiekuwa na akili timamu. Katika pitapita yangu nikakutana na kitu kinaitwa "udumavu" au kwa umombo "stanting" ninachoweza kusema kuwa ni ukweli usiopingika kuwa baadhi yetu kaktika kile kipindi cha miaka mitano ya mwanzo tulikumbwa na tatizo hili. Hili tatizo linasababishwa na lishe duni, maradhi na kutolea watoto vizuri. Hili tatizo ni kubwa sana kwenye nchi nyingi zinazoendelea Tanzania ikiwa moja katika kundi hilo.

  Ni ukweli usiopingika na uliodhibitishwa na wataalamu wa afya kuwa..kuanzia 0 day up to 5 years mtoto anakuwa mwili sambamba na akili, na ikiwa anakumbwa na udumavu basi atadumaa mwili na akili! Tujichunguze kutokana na tabia zetu pengine tutagundua tatizo letu ni nini. kwani haiingii akili mtu akitoa mawazo kwasababu wewe huyaafiki basi umkashifu "umetumwa" "crap" "hoja isiyo na mashiko" "Uongo usio na tija"

  Kuna swala jingine linalonikera sana mpaka huwa nasikia kichefuchefu nalo ni "udini" hivi jamani mtu akiwa kiongozi dini yake inakukera kitu gani? sidhani kama Slaa akiwa Rais atatulazimisha watanzania wote tuvae rozari! na kadhalika sifikirii kuwa JK ataamka asubuhi siku moja wakati ana taulo kiunoni atawaza leo niwaambie watanzania wasilimu! Au nikienda kuhutubia bunge wabunge wote wavae kanzu hata wale "wanaomkimbia"

  Ni wajibu wetu kushikama kwenye umoja wetu na kuto kumbatia aina yoyote ya utengano, tupinge hoja kwa hoja zenye nguvu na ushawishi kwani hapo ndipo tutakuwa tumelitumia jukwaa hili effectively.

  Natanguliza shukrani zangu wa management ya JF pamoja na JF members wote. Hatujachelewa tutafakari tuangalie je hatujawa "stunted" kweli?   
 2. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hustahili jibu
   
 3. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nafahamu especial unapopiga ikulu kama kumduwaza JK vile wanapotoka Chadema ndani ya Bunge :embarrassed:
   
 4. j

  josky Member

  #4
  Nov 19, 2010
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We ndio huelewi.. Udini ni Tatatizo kama ukabila.. mimi nimeona kazi zikitolewa (Tender Contracts) kwa sababu mtu ni mwisilamu tu(anvaa kanzu) nimeona hii NSSF na sehemu kama tatu.. favors zimekuwa extended kwa watu kwa sababu tu ni waislamu.. sasa usilikatae hili udini ni tatizo.. kama undugu, ukabila.. Umeshawahi kufanya kazi kwenye Cooperative unions ile ya mwanza na Moshi nimifano mizuri.. ukiwa sio mzawa wa kule hupati contracts!! Angalia chama cha CUF hirachy yote ile.. ni waislamu.. fikiria wakipewa nchi!! Angalia shule za Muslim hazikubali wanafunzi ambao sio waamini.. nafikiria ufanye reserch yako tena
   
 5. s

  seniorita JF-Expert Member

  #5
  Nov 19, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  What is argument here? Don't simply generalize, give examples and direct your argument to the right people. Then of course go back to your English dictionary and check the meanings of "stunt" or "stant" that you used in your post. Kama Watanganyika wamedumaa akili, there is someone to blame for. Umoja gani unazungumzia? So we disguise ourselves in the name of umoja and peace even when many citizens are already paying high costs due to poverty? Wacha watu waongee; people are tired, frustrated, and have been exploited for too long. If you are ok with it; then stay within your comfort zone.
   
 6. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #6
  Nov 19, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Stunted growth is a reduced growth rate in human development. It is a primary manifestation of malnutrition in early childhood, including malnutrition during fetal development brought on by the malnourished mother. In developing countries, stunted growth is a common problem affecting a large percentage of children. Once established, stunting and its effects typically become permanent. Stunted children may never regain the height lost as a result of stunting, and most children will never gain the corresponding body weight. It also leads to premature death later in life because vital organs never fully develop during childhood.

  Mkuu hii ikiwa ni pamoja na ubongo!
   
Loading...