Sio jambo zuri kumpiga Mwanamke ila muda mwingine Wanawake wanakera mno

Hakuna jambo baya kama kumpiga Mwanamke na Wanaume wengine hujiwekea viapo kwamba hawezi kumpiga Mwanamke

Lakini hawa watu muda mwingine wanakera sana mpaka uvumilivu unatushinda Wanaume. Unavunja miiko na mara nyingi kinachofanya Mwanamke apigwe ni Mdomoo!

Wangu amenuna leo siku ya pilii baada ya kula vibao kadhaaa...

Je ulishawahi mpiga mpenzi wako au mke? Nini kilikuwa chanzo....


Alikuwa mpenzi wa bongo fleva, kila nikirudi nyumbani ni mibongo fleva tu mpaka ikawa kero. Nikimuambia niwekee muziki wa maana, anaweka bongo fleva, nikamzabua ili ahamke.
 
Nilishaweka dhamira kabisa: Sitakaa nimtandike mwanamke hata siku moja. Akishindwa kuniheshimu na nikamuonya mara kadhaa ni afadhali nimpeleke kwao akapumzike lakini kumtandika hapana...na heshima huwa hailazimishwi hata siku moja. Tatizo langu mkimya sana na huwa inachukua muda sana mpaka nikasirike. Najijua nikiamua kumtandika naweza ua mtoto wa watu bure tu !!!
The same here mkuu, mimi sijui nipige wapi, hata afadhali nitoke je niende kucheza golf bila yeye nikirudi hasira zimeisha, lakini ati nimpige mtu ambae atanibebea watoto kadhaa miezi 9 no way, hata kaa umeniudhi vipi siwezi, nitatafuta njia ingine ya kumupa adambu kaa kukosa kumupeleka holiday, lakini kumpiga a big NO NO NO
Naomba utujuze wengine naona tumepotea njia. Kwao ni wapi?? Nilidhani kwa huyu mwanamke ninaye muita mke, kwao ni pale tunapokaaga naye siku zote. Sasa nitamtuma aende kule chumbani kwetu au??
Nilipo muoa nilitamka wazi na nikajiwekea nadhiri kuwa; Tutaishi pamoja siku zote za maisha yetu. Leo, unamfukuzia nje ati aende kwao!! Wapi??
Si heshima kumtuma mkeo kwa mzee nanii ati kwa kuwa ndiye alikuwa anamlea hadi ulipo mdanganya kuwa wewe sasa utakuwa babake na yeye awe mamako. Acheni hayo ya kufukuzana. Je, yeye akikufukuza utaenda wapi??
Mwanamke mpige kwa fimbo 3. 1; Mzalisheeeee hadi nguvu zimwishie atatulia tu. 2. Mpe vyakula vizuriiii hadi anenepe sana afwe kwa ugonjwa wa moyo. Natural death. 3. Mvishe sana apendeze mtaa wote umshangilie. Ataingiwa na utoto akusahau aende kuolewa nyumba ya pili. Huko atayakosa uliyo mfanyia ndipo arudi kwa kilio na adabu debe.
Heshima mkuu, hio nilikuwa sijui, ati good food, good clothing, good kids, alafu aaze malingo, wewe noma sana mkuu
 
dah kakukwida mkuu? kweli unakwidwa adi shart linachanika ajajajajajaja mungu aniepushie kikombe icho sasa kwanini ukumtafuna?
Mkuu nimekwidwa mbele za watu hadharani muda ule nikahold hasira tusiharibu mambo mbele za watu na sikumgusa siku ile.... Ila baada ya siku hiyo kilichofuatia aaaah....
 
Inabidi uanzishwe Uzi, wale tunaowakung'uta wake zetu tukutane......Versus Wale tusiopenda kuwapiga wake zetu tukutane
 
Wanaume mnavyotetea vipigo, hivi nyie ndo hamnaga maudhi? Mshukuru tu hatuna nguvu za kuwapiga, otherwise tungewatandika vibaya mno. Tunaresort kwenye maneno mengi kwa sababu nguvu ya kuwapiga hatuna. Ila mna maudhi na kero nyingi tu kama jinsi sisi tulivyo na maudhi.

"Mke ni mwili wako", sasa nashangaa mtu yupo comfortably kuupiga na kuuumiza mwili wake. Ukikereka sana em toka nje kapigwe na upepo kidogo, umuepushe shetani. Wanaume abusers wanaanzaga taratibu, leo kofi, kesho ngumi, then mitama then mapanga hadi kuuana. Mwanaume hasifiwi kumpiga mke, unamuonea tu maana she is no match for you.
 
Hakuna jambo baya kama kumpiga Mwanamke na Wanaume wengine hujiwekea viapo kwamba hawezi kumpiga Mwanamke

Lakini hawa watu muda mwingine wanakera sana mpaka uvumilivu unatushinda Wanaume. Unavunja miiko na mara nyingi kinachofanya Mwanamke apigwe ni Mdomoo!

Wangu amenuna leo siku ya pilii baada ya kula vibao kadhaaa...

Je ulishawahi mpiga mpenzi wako au mke? Nini kilikuwa chanzo....
nilikuwa na dem wangu kuna kipindi kilifika akawa na makusudi sana akanambia siku utakayonyanyua mkono unipige hata kofi ndio ntakuheshimu, saiv tumeshaachana nahisi sababu sikumpiga makofi kama alivyotaka wanawake viumbe vya ajabu sana we vione tu vinatembea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom