Sio jambo zuri kumpiga Mwanamke ila muda mwingine Wanawake wanakera mno

Nilishaweka dhamira kabisa: Sitakaa nimtandike mwanamke hata siku moja. Akishindwa kuniheshimu na nikamuonya mara kadhaa ni afadhali nimpeleke kwao akapumzike lakini kumtandika hapana...na heshima huwa hailazimishwi hata siku moja. Tatizo langu mkimya sana na huwa inachukua muda sana mpaka nikasirike. Najijua nikiamua kumtandika naweza ua mtoto wa watu bure tu !!!

Mara nyingi wazee wa misambwanda ndivo wanavokua, ni wakimya sana aisee ukiwaona kama siwo hivi
1544724411590.png
1544724411590.png
1544724411590.png
 
MBA- Marriage but available, na kwa hali halisi si busara kwa mwanaume kuwa na mke mmoja kama unao uwezo wa kuwatunza zaidi ya mmoja.
Hahaha MBA hili neno sijalisikia siku nyingi hadi nilikuwa nimelisahau. Aah basi bwana I give up nilikuwa nakuzengea ila mi siwezi kuolewa mitala nina wivu sana
 
Mdomo ndo unawaponza siku zote. Na wanawake hawalijuagi hili. "Hakuna mwanaume atakayethubutu kunyanyua mkono wake mbele ya kauli nzuri toka kwa mwanamke! Hata kama umekosea, ukishuka ukaongea kwa hekima hakuna wa kukupiga" Ila sasa unakuta mtu ana makosa afu ndo anaongea kama kameza betri za national!! Lazima udundwe tuu!!!!
Wagongwe tu maana hakuna namna, tumechoka na mikeleleyao. Piga keleleeeeeeeee!!!!:D:D:D:D
 
Mwanamke anahitaji kuwa free but katika vitu tofauti so mpe uhuru tu afanye vile anaona yeye inafaa hilo litakupa wasaa wa kumjua vizuri coz akiwa anakuogopa ata feki vitu vingi.

Ukimpa uhuru utajua kipi ni tabia yake halisi, kipi alikuwa anaigiza, kipi ni udhaifu wake(natural huwez badilisha) na mengine mengi.
Hata ukimpiGa utamfanya awe suGu tu, cheza na saikolojia lazima akae sawa.

PS: Only applicable if mpenzi wako anakupenda kweli, Otherwise ni kujitesa tu
umenena vyema.
 
Nilishaweka dhamira kabisa: Sitakaa nimtandike mwanamke hata siku moja. Akishindwa kuniheshimu na nikamuonya mara kadhaa ni afadhali nimpeleke kwao akapumzike lakini kumtandika hapana...na heshima huwa hailazimishwi hata siku moja. Tatizo langu mkimya sana na huwa inachukua muda sana mpaka nikasirike. Najijua nikiamua kumtandika naweza ua mtoto wa watu bure tu !!!
I see Me
 
Mie mwanaume mpigaji namuona hana akili timamu na hajiamini, you cannot shape me by beating me, kiukweli kwangu ndo umeharibu walah, kwanza unipige ukiwa ka nani. Mtu wa kunipiga hakika patachimbika walah, mahusiano ni maelewano tumechokana mind ur own business, nikiona mwanaume anajifanya mpigaji naona hajiamini, napenda matured man tunayeweza kuongea na ku settle our differences Bila kupeana treatment za kitoto
 

Similar Discussions

26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom