Sio haki kabisa mtunga kalenda kwa hili Mungu anakuona

Kristonsia Nkya

JF-Expert Member
Jun 24, 2013
301
290
Umbali kutoka DAR kwenda ARUSHA .. ni sawa sawa na umbali kutoka ARUSHA kwenda DAR.

lakini Umbali kutoka IJUMAA mpaka JUMATATU ni mfupi kuliko umbali wa kutoka JUMATATU mpaka IJUMAA```

"Aliyetunga kalenda nina mashaka naye"
 
Kumbe wewe hujui

'Umbali kutoka Magomeni Dar kwenda Gongo la mboto Dar ni mrefu zaidi kuliko kutoka Gongo la mboto hadi Magomeni'

'Ndiyo maana mtu wa Magomeni kumtembelea wa Gongolamboto inakuwa shida sana kuliko wa Gongo la mboto kumtembelea Magomeni'

Ni utani tu.

'Week end' njema.

decomm
 
Thanks for makin me laugh Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kulinganisha viivyofanana,ni sawa na kulinganisha tembo na mbuyu
 
Mleta mada anawaza mambo ya weekend na pombe tu. Shauri yake, kwa wengine weekend ni kila siku
 
Back
Top Bottom