Sio gamba: CCM kuoga au kujimaliza 2012

raffiki

Senior Member
Jun 4, 2011
160
44
[FONT=Times New Roman, serif]Nalazimikakuchangia mawazo yangu kutokana na nukuu ya Baba wa taifa kuwa<Nchi yetu bila CCM imara nchi itayumba>[/FONT]


[FONT=Times New Roman, serif]Uchaguziwa CCM mwaka 2012 ndio utakaotoa mstakabari wa CCM kuongoza taifaletu ikiwa imara: vijana, wanawake na wapenda maendeleo kutokamakundi mbalimbali yaani wasomi,wanaharakati na watoto wa vigogowameonekana kujitosa katika safu za siasa na uongozi katika taifaletu. Na ndio maana tunaona CCM na siasa za nchi yetu zinashika kasiambayo hatukuizoea. Kwa mwenendo huo basi sina budi kuamini kuwawengi wao wataomba ridhaa ya kuwa viongozi ndani ya CCM katikauchaguzi huo. Mgawanyiko wa kiitikadi ndani ya CCM upo na walahautakwisha bila kitu wazungu wanasema <political plan levelfield> kwa wale wapenzi wa mpira utawasikia wanasema <fairplay>.[/FONT]


[FONT=Times New Roman, serif]Wachanipige kampeni sasa:pengine na mie nikaomba nafasi ya kuwa kiongoziwa NEC na hata kamati kuu-CCM, samahani naiga tena msemo wakigeni:<when things are changing, CCM should also change>nikishindanina vipao mbele vyangu 3 vya kuijenga CCM imara [/FONT]


[FONT=Times New Roman, serif]1-ni kutetea, kushawishi, na kupambana kwa vitendo kuakikisha serikaliinapunguza matumizi ikiwa ni pamoja na kufuta vyeo vya ukuu wa wiliyana baadhi ya wizara mfano wizara ya africa mashariki, hukunikisisitiza kuimarisha na kuzipa nguvu idara za serikali ngazi yawilaya hadi vijiji.[/FONT]


[FONT=Times New Roman, serif]2-Nitapendekezana kupigania mabadiliko kwenye mfumo wa upatikanaji wa viongozi ndaniya chama, ili tuweze kupata viongozi wenye malengo,uzalendo, nauwajibikaji.Hii itaenda sanjari na kuwapumzisha asilimia kubwa yaviongozi tuliowasikia enzi mie nazaliwa 1982.[/FONT]


[FONT=Times New Roman, serif]3-nahii ni kama nitabahatika kuingia kwenye Kamati kuu,nitapambanakupigania kuwarudisha kundini Viongozi wa dini mbalimbali ambaowanasita kutuunga mkono,Dr. W.Slaa na vijana wake wazalendo ilikuboresha utendaji ktk taifa letu. Yapo mengi yakufanya, lakininaamini kwa kufanya haya 3 kwanza CCM itakuwa na la kusema 2015 nahata milele kama tunavyolenga.[/FONT]


[FONT=Times New Roman, serif]Niishiehapa nisiwachoshe naamini Great thinkers wataelewa ujumbe uliobebwakwenye post yangu.[/FONT]


[FONT=Times New Roman, serif]Source:Me,a.k.a TZ political analyst.[/FONT]
 
Nalazimikakuchangia mawazo yangu kutokana na nukuu ya Baba wa taifa kuwa<Nchi yetu bila CCM imara nchi itayumba>


Uchaguziwa CCM mwaka 2012 ndio utakaotoa mstakabari wa CCM kuongoza taifaletu ikiwa imara: vijana, wanawake na wapenda maendeleo kutokamakundi mbalimbali yaani wasomi,wanaharakati na watoto wa vigogowameonekana kujitosa katika safu za siasa na uongozi katika taifaletu. Na ndio maana tunaona CCM na siasa za nchi yetu zinashika kasiambayo hatukuizoea. Kwa mwenendo huo basi sina budi kuamini kuwawengi wao wataomba ridhaa ya kuwa viongozi ndani ya CCM katikauchaguzi huo. Mgawanyiko wa kiitikadi ndani ya CCM upo na walahautakwisha bila kitu wazungu wanasema <political plan levelfield> kwa wale wapenzi wa mpira utawasikia wanasema <fairplay>.


Wachanipige kampeni sasa:pengine na mie nikaomba nafasi ya kuwa kiongoziwa NEC na hata kamati kuu-CCM, samahani naiga tena msemo wakigeni:<when things are changing, CCM should also change>nikishindanina vipao mbele vyangu 3 vya kuijenga CCM imara


1-ni kutetea, kushawishi, na kupambana kwa vitendo kuakikisha serikaliinapunguza matumizi ikiwa ni pamoja na kufuta vyeo vya ukuu wa wiliyana baadhi ya wizara mfano wizara ya africa mashariki, hukunikisisitiza kuimarisha na kuzipa nguvu idara za serikali ngazi yawilaya hadi vijiji.


2-Nitapendekezana kupigania mabadiliko kwenye mfumo wa upatikanaji wa viongozi ndaniya chama, ili tuweze kupata viongozi wenye malengo,uzalendo, nauwajibikaji.Hii itaenda sanjari na kuwapumzisha asilimia kubwa yaviongozi tuliowasikia enzi mie nazaliwa 1982.


3-nahii ni kama nitabahatika kuingia kwenye Kamati kuu,nitapambanakupigania kuwarudisha kundini Viongozi wa dini mbalimbali ambaowanasita kutuunga mkono,Dr. W.Slaa na vijana wake wazalendo ilikuboresha utendaji ktk taifa letu. Yapo mengi yakufanya, lakininaamini kwa kufanya haya 3 kwanza CCM itakuwa na la kusema 2015 nahata milele kama tunavyolenga.


Niishiehapa nisiwachoshe naamini Great thinkers wataelewa ujumbe uliobebwakwenye post yangu.


Source:Me,a.k.a TZ political analyst.
Inakua vigumu kueleweka kwa vile tumezoea siku zote mada zinaanza kwa kuponda Chama tawala na Serikali iliyoko madarakani au kusifia Chama fulani hata kama hakuna haja ya kufanya hivyo. Leo umedhihirisha kuwa bado tafakari za wengi humu zimejengeka katika misingi ya bendera fuata upepo. Ebu jaribu kuwarahisishia kidogo mada yako uone watakavyotoka nje ya mada.
 
kilas kilichozaliwa hufa na ccm ilizaliwa 5.2.1977 ilishapita vipindi vyote utoto,ujana,utu uzima na sasa uzee sijui ni nini kitafuata.
 
Inakua vigumu kueleweka kwa vile tumezoea siku zote mada zinaanza kwa kuponda Chama tawala na Serikali iliyoko madarakani au kusifia Chama fulani hata kama hakuna haja ya kufanya hivyo. Leo umedhihirisha kuwa bado tafakari za wengi humu zimejengeka katika misingi ya bendera fuata upepo. Ebu jaribu kuwarahisishia kidogo mada yako uone watakavyotoka nje ya mada.


Wanaojielewa kwanini wapo na wanaingia humu JF wamelewa, ambao hawajielewi na hawajui wanaingia humu JF kufanya nini hawajaelewa-kama hawakuelewa wamejuaje kama hawaelewi?sio kila post inahitaji kusifia au kuponda chama cha siasa kama ulivyosema
thatha-Maana yangu hapa ni simple Bila CCM imara nchi yetu itayumba,,nukuu hiyoo.....na CCM imara itazaa Serikali imara,hivyo basi haina budi CCM katika chaguzi zake kutoa fursa sawa kwa wote wanaihitaji kuongoza taifa letu..bila hivyo kitaendelea kupoteza mvuto na kufa.

Na hapa ni simple tu CCM hamasisha vijana wa aina zote bila upendeleo kukugombea nafasi za uongozi na sio kukazana tu kwa akina mama...CDM ndio wanavuta vijana kwa njia hiyo na ndipo wanapaa ushawishi mkubwa-Ukitumia vijana utawapata na kinamama na wazee.
 
Back
Top Bottom