Phazo Khan
Member
- Aug 26, 2019
- 70
- 80
Hapana...nafkri kuna baadhi ya mifano sio halisi kwa baadhi ya mazingra, majukumu mama yalikuwa wazi kikatiba...hivyo asingeweza kutaka yake yeye yapitishwe bila baraka za Hayati, hivyo nafkri kipindi ni VP na sasa ni nyakati mbili tofauti.Ni kweli Mkuu.., lakini huyu Muimbaji wa sasa si ndio alikuwa anaimba chorus na bridge kwenye Wimbo aliokuwa anaimba Mtangulizi wake?
Sasa iweje unataka Wimbo ubadilike ikiwa yeye nae alikuwa sehemu ya Wimbo huo? Hapo kitakachobadilika ni Mahadhi ya Sauti tu ila Alaa na mapigo ya vyombo yatabaki kama yalivyo, yeye atakuja na Wimbo wake mwenyewe kuanzia 2025 hapo ndio tutajuwa Utunzi na uimbaji wa Mama sasa!!!
Naunga hoja mkono kuwa aachwe afanye vyenye anaweza yeye kwakuzingatia vitu vitatu....BUSARA, UTU NA KATIBA