Sio fair kuhusisha Taarabu na Ushoga

BabaMorgan umeamua kututukana mchana kweupe wanaume wote, binafsi nimefedheheka sana
Mm kwa upande wangu kusikiliza taarabu sikutofautishi na yafuatayo.
1.kumiliki silaha ya moto bila kibali
2.kufadhili vikundi vya ugaidi.
3.kuuza silaha kwa magaidi
4.kuwafundisha mafunzo yakijeshi wahalifu wa Green guard
5.kujiuza balabala kwa machangudoa na mashoga

Ukisikiliza taarabu mwanaume nakuweka makundi hayo
 
Hivyo vitu mbona kama havina connection na kusikiliza taarabu.
 
Mie napenda sana taarab hasa zile za zamani (cultural taarab) lakini pia napenda zile za kisasa especially zile za Mzee yusuph akiwa na zanzibar stars za miaka ya 2000s pamoja na za jahazi kipindi kile ipo moto. Nmekwenda mbali zaidi napenda mpaka za marehem Juma Balo.
Lakini pia napenda karibu aina zote za miziki. Kuanzia hizo Taarab, Reggae, Ngoma za asili (sindimba, Mchiriku aka Mnanda, Chakacha, sangura, nyimbo za aqilo wa mbeya yule mswafa, makirikiri, Ritungu nk), Oriental flavors, Jazz, AfroBeat (Akina fela Kuti and the like), Classical Music (Zote), Disco, Charanga, Salsa, Funky, RnB, Hip Hop, Rap, Boringo yaani naweza nikaandika nisimalize.
Kiufupi mie ni mpenzi wa mziki tu. Hata kama utapiga makofi na kutoa sauti zenye rythm nzuri mie ntakuwa shabiki yako. Mie sina dini but ukinikuta naimba mapambio kanisani au msibani usishangae! Huwa naingiaga kwenye Dhikr za waislam na Tariqa kwasababu ya zile sauti zao tu.
Funny story ni kwamba nmeshawahi ingia kwenye Dhikr za waganga za kupunga mashetani kwasababu tu ya zile nyimbo zao
Na huwa sijali ninapoona hapa nitapata furaha ya nafsi kwa mziki huu basi naingia bila ya kujali raia mtanionaje..! Sasa kama wewe unaogopa kuonekana shoga kwa kusikiliza taarab njoo kitaani uone ninavyolivurumisha sub woofer kwa nyimbo za taarab mchana kutwa.
 
Hata mashoga nao wanasema wanafanya ushoga wa kisasa
 
mi taarabu nasikiliza sanaa...fikiria lile biti la top in town ya hadija koppa,,afua sulemani-utalijua jiji,,jishebedue mke mwenzio akujue-jokha kassim ft aisha mashauzi ..wagombambanao ndo wapatanao,,,eastafrica melody na maua tego,,,mapenzi-5stars,,lawama-aisha mashauzi,,,,aiseee hatari sana izo ngoma
 
Asilimia kubwa ya wanaume wapenda taarabu ndiyo wapo hivyo ingawa siyo wote...

Taraabu zimejaa maneno ya mipasho, kejeli na umbea...

Jifikirie mwenywe, katikati ya nyimbo wanawake wanabinua midomo kuzungusha macho na kulegezea vidole huku wakilegeza viuno na makalia(Tetema) nawe dume utayafanya hao kweli?

Cc: mahondaw
 
Mie napenda sana taarab hasa zile za zamani (cultural taarab) lakini pia napenda zile za kisasa especially zile za Mzee yusuph akiwa na zanzibar stars za miaka ya 2000s pamoja na za jahazi kipindi kile ipo moto. Nmekwenda mbali zaidi napenda mpaka za marehem Juma Balo.
Lakini pia napenda karibu aina zote za miziki. Kuanzia hizo Taarab, Reggae, Ngoma za asili (sindimba, Mchiriku aka Mnanda, Chakacha, sangura, nyimbo za aqilo wa mbeya yule mswafa, makirikiri, Ritungu nk), Oriental flavors, Jazz, AfroBeat (Akina fela Kuti and the like), Classical Music (Zote), Disco, Charanga, Salsa, Funky, RnB, Hip Hop, Rap, Boringo yaani naweza nikaandika nisimalize.
Kiufupi mie ni mpenzi wa mziki tu. Hata kama utapiga makofi na kutoa sauti zenye rythm nzuri mie ntakuwa shabiki yako. Mie sina dini but ukinikuta naimba mapambio kanisani au msibani usishangae! Huwa naingiaga kwenye Dhikr za waislam na Tariqa kwasababu ya zile sauti zao tu.
Funny story ni kwamba nmeshawahi ingia kwenye Dhikr za waganga za kupunga mashetani kwasababu tu ya zile nyimbo zao
Na huwa sijali ninapoona hapa nitapata furaha ya nafsi kwa mziki huu basi naingia bila ya kujali raia mtanionaje..! Sasa kama wewe unaogopa kuonekana shoga kwa kusikiliza taarab njoo kitaani uone ninavyolivurumisha sub woofer kwa nyimbo za taarab mchana kutwa.
umetisha.
 
mwanaume anayesikiliza taarabu sio riziki

kwa sababu ni mziki wa mipasho ambayo hupendwa na upande wa pili.

so, wewe unapenda mipasho?
Hii kwa kizazi hiki cha sasa hivi taarabu mnahusisha na ushoga, ila kwa sisi Wazee taarabu kwetu ni mziki kama mziki mwingine.

Bali huko zamani, Chakachaka ndiyo iliyokua ikihusishwa na ushoga.

Mafumbo kwenye Taarabu yapo ila mafumbo na Ushoga wapi wapi mziki wa Taarabu ulibamba sana enzi hizo.
Hadija Kopa na marehe Hamisa Kidogo,
Ally Tajruna
Malika
Na waimbaji wengi waliofuma enzi hizo, na band zao kama.
Shani Music Club ya Burundi
Egypution Music
Muungano
T.O.T
Malika Part Music
Na band nyingi zilizotamba enzi hizo.

Siwezi kutunza Nyimbo hizi za wanamziki hivi sasa, ila nina nyimbo za zamani zenye radha tofauti zaidi ya 1000, zikiwemo za Taarabu.

Cheke baadhi ya hizo nyimbo kwenye hizo Screen short.

Screenshot_20190721-002429.jpeg
Screenshot_20190721-002458.jpeg
Screenshot_20190721-002439.jpeg
Screenshot_20190721-002510.jpeg
 
Mwanaume unasikilizaje taarab aisee
Huo nao ni aina fulani ya Ushamba mziki hauna nyumbani, mziki unaunganisha Dunia.

Hakuna mziki unaosikilizwa na watu wa aina fulani. Mziki wa kihindi wanatumia Lugha yao Watanzania hatujui watamka maneno gani ila tunasikiliza.
Mzungu akija leo Tanzania hajui kiswahili ataburudika na mziki wa Kitanzania.

Nyie kizazi cha sasa hivi mnaburuzwa na ushabiki, Ukiwa mshabiki wa Diamond hata Ally Kiba atoe wimbo mzuri, hutoupenda.

Na hali iko hivyo kwa mashabiki wa Ally Kiba, hata Diamond atoa wimbo mzuri hawatapenda hata kuusikia.

Zamani tulisikiliza mziki wa Band zote zaTanzania, na nje mziki Ragae, Charanga, Caribian, Pope, Mahadhi ya Kikongo, mahadhi ya Africa Kusini, Twist na miaka hivi Karibuni R&B Tulikua Tunapenda mziki aidha kwa uimbaji au mapigo, Uimbwe kwa Luga yeyote.

Mfano Grie Grie Wa Sophia George, Aaliyah Na I mis you.
Anna Mwale Na Kwazungen
Alus Mabele Na Asta De.
Bicco Star Na Tuache Chuki
Bima Lee Na Moyo Wangu.
Black Box Na Ride On Time.
Bon M. Na River Of Babylon.
Bozi Boziana Na Chama Chiko.
Brenda Fassie Na Namakanjani.
Capten Jack Na Iko iko.
Celine Dion Na New Day is Came.
Chimora Na Eli aeli.
David Amunga Na Mama Mukoya.
Dante Thomas Na Mis Califonia.
Ebru Gundes Na Yallan.
Fela Kuti Na Shakara.
Ismaelo Na Africa.
Jamhuri Jazz Na Chawa Wanyama Wakali.
Judy Boucher Na Mr, Dream maker.
Wapogoro Na Karibu Dada.
Kassav Na Kaya Manman.
Lambada Kaoma Na Mslisha.
Madonna Na Into The Groove.
Mory Cante Na Yeke Yeke.
 
Daah umeniandikia gazeti. Pamoja na hayo yote mwanaume anayesikiliza taarabu sijui namuonaje
 
Hii kwa kizazi hiki cha sasa hivi taarabu mnahusisha na ushoga, ila kwa sisi Wazee taarabu kwetu ni mziki kama mziki mwingine.

Bali huko zamani, Chakachaka ndiyo iliyokua ikihusishwa na ushoga.

Mafumbo kwenye Taarabu yapo ila mafumbo na Ushoga wapi wapi mziki wa Taarabu ulibamba sana enzi hizo.
Hadija Kopa na marehe Hamisa Kidogo,
Ally Tajruna
Malika
Na waimbaji wengi waliofuma enzi hizo, na band zao kama.
Shani Music Club ya Burundi
Egypution Music
Muungano
T.O.T
Malika Part Music
Na band nyingi zilizotamba enzi hizo.

Siwezi kutunza Nyimbo hizi za wanamziki hivi sasa, ila nina nyimbo za zamani zenye radha tofauti zaidi ya 1000, zikiwemo za Taarabu.

Cheke baadhi ya hizo nyimbo kwenye hizo Screen short.

View attachment 1158578View attachment 1158579View attachment 1158580View attachment 1158581
Tarabu ya zamani inaweza isiwe tatizo. Lakini hii taarabu ya sasa hapana kwa kweli.
 
Back
Top Bottom