Sio CCM, Chadema wala CUF vinafaa kuongoza tanzania , tunahitaji chama mbadala.

kwani kuelezea fikra lazima utumwe? hivi tunajenga jamii ya aina gani?? kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake sasa linakujaje suala la kutumwa??? hao mnaowatetea wamewatuma?? mkuu unanitisha kwa swali lako inaonesha huko uhuru wa mawazo ni usaliti tujipange jamani.

Huyo jamaa anashangaza sana. Anafikiri na migogoro ya CDM nayo inaweza kutetewa kwenye mitandao kama ambavyo wamekuwa wakifanya kwenye mambo mengine kama kashfa za udini, ukabila masuala binfasi ya viongozi wao. Hivi ni vitu ambavyo ni tangible(vinaonekana machoni pa watu) lazima vijadiliwe tena kwa kina na hasa pale ambapo vyama hivi vinapojifanya kuwa safi wakati usafi wavyo unajificha kwenye kivuli cha kutoshika hatamu.
 
Hayo mambo ya CHADEMA sisi yanatuhusu nini? Kwani CDM hawana vikao? Je wewe ni mjumbe au umetumwa? Isitoshe kama CDM itakufa unadhani Tanzania ndiyo imekufa?
Acha jazba CCM imesemwa sana kuhusiana na makundi iliyonayo na hayo yalionekana kama sababu ya kupoteza mvuto kwa wananchi, sasa sijui unaona tabu gani hayo hayo yanayotokea ndani ya CDM kuongelewa ili waweze kujirekebisha? Ni hatari sana kwa chama kichanga kama CDM, CCM kisiki cha mpingo kile, wanavutana lakini mwisho wa siku suluhu inapatikana tena kwa hoja. CDM ni hatari sana kwa vile migogoro yao ikizidi itachochewa sana na dhana nyingi zinazokitawala kama vile Ukabila, Udini n,k
 
WATANZANIA KWA KUSAHAU TUNAONGOZA...... Maisha magumu, watu wanauawa,wanatukanwa... Lakini mwishoni wanaichagua tena CCM.
 
ukitafakari mwenendo wa mambo ulivyo ndani ya upinzani ni wazi hakuna chama mbadala wa CCM na kwa hakika mpaka 2015 tutakuwa na vipande vya vyama tu na CCM kama kawa itashika hatamu sipendi ubishi mwenye akili anatambua ninachosema.

Inategemea na akili unazosema, maana hata wanaotumia MASABURI kufikiri nayo ni akili pia.
Kama pasingekua na chama basi ni heri nchi iongozwe na jeshi kuliko ccm.
Lkn ashukuriwe Mungu kwamba kipo chama TAWALA cha CHADEMA ambacho ni makini, na umakini wake ndio umekufanya uandike huu uzi wa kutapatapa
 
ukitafakari mwenendo wa mambo ulivyo ndani ya upinzani ni wazi hakuna chama mbadala wa CCM na kwa hakika mpaka 2015 tutakuwa na vipande vya vyama tu na CCM kama kawa itashika hatamu sipendi ubishi mwenye akili anatambua ninachosema.

Habari za asubuhi..!!
 
wayahui walizani yesu angekuja na utukufu mwingi cha kushangaza akazaliwa katika familia maskini tena kwenye holi na ng'ombe so tufikirie juu ya ukombozi na ukombozi huo hauletwi na wanasiasa ni sisi wenyewe kufanya kazi za kuijenga nchi.

Mmoja wa wanafunzi wa Yesu alimwuliza Yesu hivi, "Watu wanauliza ni wewe ndiye tuliyekuwa tukimsubiri au tumsubiri mtu mwingine?". Na mimi namuuliza Dr. Slaa, "Ni wewe tuliyekuwa tukikusubiri au tumsubiri mtu mwingine?".

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Chama mbadala kipo ila siyo hivi tunavyoviona sasa. CHADEMA walikuwa wameshanipa matumaini ila kadri 2015 inavyokaribia hali ya hewa ndo inavyozidi kuchafuka. Na kitu kitakachotuharibia kabisa CHADEMA ni hili swala la nani agombee uraisi kupitia chama chetu cha CHADEMA.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Nadhani CDM hawawezi kutoa rais wa nchi hii, labda tu pale baadhi viongozi waandamizi wa chama hicho watakapojitambua kuwa wao ni waasisi na siyo watawala wa chama. Tatizo si nani agombee urais, tatizo kutaka waasisi ndiyo wagombee. kama hoja ni nani mwasisi, basi ndani ya CCM baada nyerere sidhani kama Mwinyi ndiye aliyestahili kuwa rais wa awamu ya pili. Kitu kingine ni ile dhana ya kufikiri kuwa bila fulani hakuna chama, hii ni kutukuza umimi.
 
Acha kabisa kutoa mifano ya yesu na hawa ma-freemasons.
 
Chama mbadala kipo ila siyo hivi tunavyoviona sasa. CHADEMA walikuwa wameshanipa matumaini ila kadri 2015 inavyokaribia hali ya hewa ndo inavyozidi kuchafuka. Na kitu kitakachotuharibia kabisa CHADEMA ni hili swala la nani agombee uraisi kupitia chama chetu cha CHADEMA.

ni kweli tatizo la CDM baadhi ya viongozi huamini katika hali ya ubinafsi kwamba wao ndio chama ni ndo muonekano halisi dk slaa àkihama CDM lazima iyumbe lkn ccm ni imara kwa kuwa hakuna anaeizidi umaarufu.
 
hivi watu hata kuongoza familia zao kumewashinda wataweza nchi?? hahaha watusaidie tu kwa mawazo lakini kuongoza hapana watengeneze kwanza familia ikulu hatupeleki wahini wasiotaka kuoa
 
ukitafakari mwenendo wa mambo ulivyo ndani ya upinzani ni wazi hakuna chama mbadala wa CCM na kwa hakika mpaka 2015 tutakuwa na vipande vya vyama tu na CCM kama kawa itashika hatamu sipendi ubishi mwenye akili anatambua ninachosema.

Your thinking is too low to be called a great thinker .Hujachunguza umekurupuka sitakin kukuita mamluki sipendi names calling ila akili zako zimefikia mwisho .Haya unayo yaona Chadema Uongozi na CC yao walitaka yatokee .Ili wachukue maamuzi mshindwe kutia maneno yanu ya kipuuzi kama huu ni
Ubabe wa Slaa au Mbowe , maana you always loosing the battle na kukimbilia hilo .
Hapa anatafutwa kuchafuliwa Slaa hakuna zaidi .
Hapa wanaeneza udini , ukanda, nk

Tokea lini kiongozi wa ukweli akatuhumu Chama chake kwa ukanda na udini lakini haondoki akijidai analeta changes from within kwa nguvu ipi na njia zipi .

You just wait and see hao walo letana hapa walisha chokwa na mwisho wao ndiyo huu siamini kama baada ya Shonza kusema yote hata anajihesabu kama kiongozi wa Chadema tena alidhani anachafua Chama na Chadema kumbe yeye amajimaliza na harakati zake za siku nyingi .Watu wanajua walisema but Chadema took a breath now umejionea sasa sijui wakati unasema haya uliwaza mbali au uliona nawe uanzishe mada wajue upo ?

Kama unaona kuna ukabila Chadema na ukanda nawe ni kiongozi unafanya nini huko ? Anza chama chako kwa uroho wako au toka ingia CCM na kwinginekon unako kubalika .

Hakuna madhara kwa watanzania kwa Chadema kulumbana kwa ajili ya wapuuzi wanao rudisha nyuma maendeleo kama madhara ya

Kuuza wanyama nje
Pembe za ndovu
Rushwa hadi kwenye nyumba kumi
Haki za binadamu
maisha magumu watu kufa hovyo bila madawa hosp
kudhulimu viwanja
Kuzuia elimu
Kuongeza umasikini
Kutumia pesa za walipa kodi kupambana na Chadema chama cha msimu

Wengine wataongezea hapa ..........................................
 
Nadhani CDM hawawezi kutoa rais wa nchi hii, labda tu pale baadhi viongozi waandamizi wa chama hicho watakapojitambua kuwa wao ni waasisi na siyo watawala wa chama. Tatizo si nani agombee urais, tatizo kutaka waasisi ndiyo wagombee. kama hoja ni nani mwasisi, basi ndani ya CCM baada nyerere sidhani kama Mwinyi ndiye aliyestahili kuwa rais wa awamu ya pili. Kitu kingine ni ile dhana ya kufikiri kuwa bila fulani hakuna chama, hii ni kutukuza umimi.

Kaka ume elewa kweli bandiko la huyu looser au umeingia kichwa kichwa ?Urais na uasisi hapa ni vipi ? Waasisi Chadema ni wengi hata Zitto ni mmoja katika ya watu wa kwanza kabisa walionza na Chadema sasa asigombee ? Again issue ya uasisi iko wapi hapa ?Vijana mmevamia jamvi hata kusoma mnasoma na hamuelewi .
 
Mmoja wa wanafunzi wa Yesu alimwuliza Yesu hivi, "Watu wanauliza ni wewe ndiye tuliyekuwa tukimsubiri au tumsubiri mtu mwingine?". Na mimi namuuliza Dr. Slaa, "Ni wewe tuliyekuwa tukikusubiri au tumsubiri mtu mwingine?".

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Unayemsubiri hajazaliwa
 
ukitafakari mwenendo wa mambo ulivyo ndani ya upinzani ni wazi hakuna chama mbadala wa CCM na kwa hakika mpaka 2015 tutakuwa na vipande vya vyama tu na CCM kama kawa itashika hatamu sipendi ubishi mwenye akili anatambua ninachosema.

huo ni mtazamo wako kwa upeo wako mdogo!
chama makini cha siasa lazima kuwe na changamoto kuonyesha ukomavu!
ishu ni jinsi gani chadema inakwenda kukabiliana na hizo changamoto!
unatakiwa kutumia kichwa kufikiri kabla ya kupost
 
Huo ndio ukweli, na hapa si upinzani kutoshinda pekee, bali ni ishara kuwa hawana uwezo wa kuongoza nchi na hata kama ikitokea wakashinda kwa bahati mbaya tunaweza kurudi nyuma kimaendelea badala ya kusonga mbele.

tatizo wengi wenu mnaona siasa kuwa ni mtu!japo chama kinajengwa na watu lazima kiwe ni misingi yake;nccr iliyumba lakini sioni hilo likitokea cdm
 
bwana lunyungu punguza jazba hivi dk slaa ni mungu? mbona mtume amekufa miaka mingi uislam bado upo? je kwanini kila ànaetoa mawazo tofauti mnamwita adui wa slaa? mimi nimeongelea upinzani kwa hiyo upinzani wote wana kichwa kimoja tu ambacho ni slaa jenga mawazo ya kimfumo usijenge mtazamo wa kibinafsi mfano JKIKWETE haizîdi CCM umaarufu na ukiongelea CCM unaongelea watu why cdm ni slaa pekee? nchi haiongozwi kama familia mkuu
 
Kaka ume elewa kweli bandiko la huyu looser au umeingia kichwa kichwa ?Urais na uasisi hapa ni vipi ? Waasisi Chadema ni wengi hata Zitto ni mmoja katika ya watu wa kwanza kabisa walionza na Chadema sasa asigombee ? Again issue ya uasisi iko wapi hapa ?Vijana mmevamia jamvi hata kusoma mnasoma na hamuelewi .

kingine ninachôogopa ni kule kutovumilia watu wenye mawazo tofauti na yenu ndo mana mnamalizana nyie hao viongoz wenu ni kama nyie tu wanafikiri, wanatamani, kama nyinyi
 
bwana lunyungu punguza jazba hivi dk slaa ni mungu? mbona mtume amekufa miaka mingi uislam bado upo? je kwanini kila ànaetoa mawazo tofauti mnamwita adui wa slaa? mimi nimeongelea upinzani kwa hiyo upinzani wote wana kichwa kimoja tu ambacho ni slaa jenga mawazo ya kimfumo usijenge mtazamo wa kibinafsi mfano JKIKWETE haizîdi CCM umaarufu na ukiongelea CCM unaongelea watu why cdm ni slaa pekee? nchi haiongozwi kama familia mkuu

Like kila moja anajua kwamba mmejipanga huwezi kushinda hapa kuandika tu ina maana huna la zaidi ? Umeingia hapa lini sijui check the way you spending time here .Linganisha nami niko hapa tokea lini na kuna weeks zinapita sijaandika .CCM wote hofu yao ni Slaa kama mtu na si Chadema kama Chama .Na Huwezi kutofautisha Slaa akifanya kazi za Chadema sasa sijui walielewa hili kaka .
 
kuspend time isikupe shida mi natetea hoja yangu sina njàa nimevuna junia kumi za mahindi
 
Back
Top Bottom