Sio bure we mwanamke: Iweje bikini zako zinakatikakatika mara kwa mara! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sio bure we mwanamke: Iweje bikini zako zinakatikakatika mara kwa mara!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ndyoko, Apr 24, 2012.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Jamani uzalendo umenishinda! Kwa mnaoijua dodoma kuna kituko huku kinaendelea kati ya wapenzi wawili.
  MadameX naomba tu unisamehe, imebidi niongee tu! Niko geto kwa mshikaji wangu anayeishi kwenye nyumba ya wapangaji wawili tu.

  Kuna tifu la haja kati ya wapenzi wawili. Mwanaume kakagua vhupi za mpenziwe, amestaajabu baada ya kuona bikini karibu sita kati ya kumi alizonazo mkewe zote kale kamkanda kamekatika-kifupu zimekuwa ni kama gagulo-nadhani wadada wa zamani hii term sio ngeni masikioni mwenu. Mwanaume kaja juu anahoji nini hasa kilichopelekea idadi kubwa ya hizo bikini kukatika kale kakamba chake. Hoja ya mwanaume ndiyo imenichekesha zaidi kwa kuzingatia kazi ya huyo mpenziwe! Mwanaume anahisi kukatika kwa hizo bikini ni kutokana na tabia ya mkewe-ambaye ni mhudumu wa bar-ya kutoa MABAO YA FASTA eti chooni. Kutokana na ufanyaji wa ngono kwenye vyoo vya bar, mwanamke huyo hulazimika kuvuta tu kile kikamba ili mchezo huo ufanyike haraka haraka. Mbaya zaidi huyo mwanamke ni nyumba ndogo yake tu, lol!

  Hapa ndo paliponiacha hoi nikaona potelea mbali wacha niwajuze tu, huenda wapo ambao siku yao itakuwa murua kabisa wataposikia hiki kisa.

  Jamani kina mama/dada mumeo akikusema eti kwa kuwa tu umemkenulia meno kidume mwingine usikereke, hebu muangalieni mwenzenu, cha moto anakiona!

  My take: Wivu wa mwanaume ni mbaya kuliko wa mwanamke na mara nyingi ndio upelekeao mahusiano mengi kufa!
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,748
  Trophy Points: 280
  andi zina muda gani tangia kununuliwa..................yawezekana zimechoka na zahitaji amnunulie nyingine................
   
 3. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Wewe dyoko unaishi maili mbili au chang`ombe au chaduru au wapi uswahilini hivyo???
   
 4. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Mulikaa mwizii......
   
 5. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Jamani na huyo mwanaume ana wivu wa nini na bar maid??? si anatafuta kufa kwa presha tuu???
   
 6. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  We chukua kitu hiyo ya anaishi wapi utaijua mbele kwa mbele bana! Ukimchunguza sana kuku au bata unaweza ukaishia kutokula chips kuku bureeeee!
   
 7. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Mi naishi kisasa, chang'ombe nilihama muda mfupi baada ya kisa cha jamaa alonyweshwa sumu. Kama vipi tuonane nikitoka huku nkuhungu pale KJ tupate supu au mtori and arctic tupate ugali na mishikaki halafu tukamalize kwa bia na nyama choma pale opposite na NMB dodoma branch!
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Mmmh, kwa umbea hujambo.
  Fungua gazeti la udaku.
   
 9. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Nitake radhi madam!
   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Ndyoko bana ....
   
 11. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Mhhhhhhh! hilo la muda mkuu mi ntajuaje. yatosha tu kujua hazikawii kuchakaa!
   
 12. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  kama kaongeza mzigo na bikini zimechoka unadhani zitahimili uzito/ujazo?
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Dec 11, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,332
  Likes Received: 22,177
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...