Sinza kuna mtu anaitwa Wambura, naye hutishia watu bastola hadharani

Wambura kashakamatwa

Melvine
Hongera sana kwa Jeshi la Police! Malimbukeni wote wanyangwe hizo silahaa, silahaa inatakiwa apewe Mtu anaejitambuwa ambae anaweza hata kutumia silahaa yake kuokoa au kusaidia Jamii na hiyo silahaa yake badala ya kutishia watu hadi kufikia kutowana uhai kisa unamiliki Beretta!!
 
Safi kabisa... Kuna Jamaa anaitwa Mshana wa Mwenge naye Kakamatwa alitishia Polisi na Bastola ya Kakaye. Wote wapo ndani
Alimtishia polisi na bastola! Na bado yuko hai? Daah labda hiyo siku polis hawakua na silaha Anabahati sana na asirudie tena akitoka huko maana polis wana roho ya kishetan sana wangemtandika risas za kutosha
 
kwa kweli kwa Hali ilivyo Sasa watu mnaopendelea kwenda bar muwe makini,

Ikiwezekana msiende kwa maana hamtakufa bali mtaishi.
 
Back
Top Bottom