Sinza kuanza kuwekwa bango ya kutambua maeneo ya wazi leo

MAZUMILA

Member
Nov 9, 2011
7
0
kata ya sinza leo mabango ya kutangaza maeneo ya wazi yamewekwa barabara ya lion sinza kwa mjibu wa diwani wa sinza renatus pamba CDM amesema kuwa wataweka mabango maeneo yawazi yaliyovamiwa yasiyopungua mia moja na amewataka watu wote waliovamia waanze kuondoka maeneo ya wazi
 
yule Mwakilinga Abdalla aliye na nyumba tatu maeneo ya wazi nadhani sasa atavuna alichopanda
 
Asisahau maeneo yote ya sinza ambayo ccm wameyapola eneo la shule ya chekechea sinza kijiweni , eneo la mpira wa miguu small boys, eneo la ccm kata sinza palestina, maeneo yote yaliyokuwa na mabomba ya serikari ambayo yamechukuliwa karibu yote na wajanja wachache na viwanja vyote vya michezo ya watoto .KWA UFUPI AWEKE MASTER PLAN ALIYOWEKA BRYSON WAZIRI MZUNGU
 
Hivi juhudi hizo za diwani bila kushirikisha mamlaka husika siyo kutwanga maji kwenye kinu?
 
Back
Top Bottom