Sinza kila baada ya nyumba bar lakini Keko kila baada ya nyumba kuna nyumba ya wageni

Hivi Chumba kikiwa Self Contained unakuta Pakiti ngapi za Condom?

au ndo mnapenda kuoga kuliko kinga
 
watu wanachoka kula vya nyumbani wanatamani kula vya huko porini
ni lazima vyumba vijae.

hawa wanafunzi wa duce ndo wamefanya vyumba vya keko vipande bei.sasa hivi siku za kwanzakwanza wamefunguo vyuo lazima zijae.subili waanze kuchoka.bei zitapungua na vyumba vitapatikana.sasa hivi wanajifanya kukaa guest eti bado wanatafuta vyumba vya kupanga.mia
 
Kigogo kila baada ya nyumba kuna mganga wa kienyeji

kigogo ni noma.walimtishia maisha magufuli kipindi cha bomoabomoa ile barabara inayotokezea pale yanga k/koo.hadi alienda mwenyewe kwa mguu kuhesabu nyumba zilizobomolewa walipwe.kipindi hicho hata bomoabomoa ilisimama kwa mda.hawa waganga wa kienyeji wana mikwala.eti "ukiniletea jeuri nakugeuza mlupo".dah!.mia
 
Ukiangalia kwenye kitabu cha wageni utakuta kutoka Tegeta kwenda Temeke au kutoka Kinondoni kwenda Chang'ombe au kutoka Temeke kwenda Keko mtu anajipumnzisha

ndo ushangae hata mwenyeji anajiita mgeni.anajifanya katoka morogoro anenda dar es salaam kumbe ni wa mtaa wa pili tu.mia
 
guest+ya+ajabu.jpg

hiki kibao nilikiona pale njia panda ya himo.kuna guest fulani inaitwa mpandisi.mia
 
kuna mtaa upo Manzese kila baada ya nyumba kuna Guest House.
 
Hivi Chumba kikiwa Self Contained unakuta Pakiti ngapi za Condom?

au ndo mnapenda kuoga kuliko kinga

mkuu usitegemee condom za guest nyingine zimepitwa na mda wake.nenda na condom zako kabisa.kwa mfano maduka ya makumbusho,victoria kinyama,mwenge condom ni adimu sana.ishu ni kwenda pale b-bar sinza chooni kuna ATM ya condom.nenda na miambilimiambili kibao.kila ukiingiza mia mbili kwenye ATM unapata pakiti ya condom.baada ya hapo ndo utafute sehemu ya kupumzika.mia
 
Lakini vile unavyokuta bar zimejaa sinza ndo hivyo unakuta guest zimejaa keko.tuseme keko kuna wasafiri sana kuliko ubungo?ukila unapopita usiku unakuta ubao umegeuzwa eti "vyumba vimejaa".mimi naona watu waendelee kuwekeza kwenye guest.kwasababu hii hali inaboa sana.hebu fikilia mtu umechoka unakosa sehemu ya kupumzika.sio ishu.mia
Pia umesahau na kila karibu na bar kuna guesthouse iwe ni rasmi au iwe sio rasmi(guest house bubu)na katika kila guesthouse kuna malaya si chini ya watano wamepanga vyumba na hao malaya wana marafiki zao malaya pia si chini ya watatu wamekaribishwa kwenye hizo rooms,na baada ya hao malaya ndio yale mambo ya MEGAWATI hiyo ndio Sinza ,iko wazi saa 24.Sinza imenifanya nifikirie kufungua biashara ambayo nitakuwa sifungi ,itakuwa ina operate 24 hrs, hakuna kulala ndio maanake
 
Lakini vile unavyokuta bar zimejaa sinza ndo hivyo unakuta guest zimejaa keko.tuseme keko kuna wasafiri sana kuliko ubungo?ukila unapopita usiku unakuta ubao umegeuzwa eti "vyumba vimejaa".mimi naona watu waendelee kuwekeza kwenye guest.kwasababu hii hali inaboa sana.hebu fikilia mtu umechoka unakosa sehemu ya kupumzika.sio ishu.mia
mia,mia
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom