Sinza kila baada ya nyumba bar lakini Keko kila baada ya nyumba kuna nyumba ya wageni

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,474
54,801
Lakini vile unavyokuta bar zimejaa sinza ndo hivyo unakuta guest zimejaa keko.tuseme keko kuna wasafiri sana kuliko ubungo?ukila unapopita usiku unakuta ubao umegeuzwa eti "vyumba vimejaa".mimi naona watu waendelee kuwekeza kwenye guest.kwasababu hii hali inaboa sana.hebu fikilia mtu umechoka unakosa sehemu ya kupumzika.sio ishu.mia
 
mzee wa kona za uswazi hii tatmini yako kiboko ingawa ina ukweli...kwanza keko zipo nyingi,machungwa,magurumbasi,mwanga,juu,chini,ddc,fenicha etc huenda ni sababu lakini pia kuna vilabu vingi vya kienyeji na wafanyabiashara wengi wa mbao..imagine chumba self contained buku 5
 
hahahaaa...mkuu guest gani hiyo self buku5?mia
 
Lakini vile unavyokuta bar zimejaa sinza ndo hivyo unakuta guest zimejaa keko.tuseme keko kuna wasafiri sana kuliko ubungo?ukila unapopita usiku unakuta ubao umegeuzwa eti "vyumba vimejaa".mimi naona watu waendelee kuwekeza kwenye guest.kwasababu hii hali inaboa sana.hebu fikilia mtu umechoka unakosa sehemu ya kupumzika.sio ishu.mia

Vipi Mazee ulikuwa na kitu chako ukataka ukapumzike na kila sehemu ikawa imejaa!? pole sana..lol! Siku nyingine ufanye booking mapema ili usiadhirike
 
watu wanachoka kula vya nyumbani wanatamani kula vya huko porini
ni lazima vyumba vijae.
 
Vipi Mazee ulikuwa na kitu chako ukataka ukapumzike na kila sehemu ikawa imejaa!? pole sana..lol! Siku nyingine ufanye booking mapema ili usiadhirike

hapa,mimi huku ni mgeni wala sina mwenyeji.mia
 
Lakini vile unavyokuta bar zimejaa sinza ndo hivyo unakuta guest zimejaa keko.tuseme keko kuna wasafiri sana kuliko ubungo?ukila unapopita usiku unakuta ubao umegeuzwa eti "vyumba vimejaa".mimi naona watu waendelee kuwekeza kwenye guest.kwasababu hii hali inaboa sana.hebu fikilia mtu umechoka unakosa sehemu ya kupumzika.sio ishu.mia

Ukiangalia kwenye kitabu cha wageni utakuta kutoka Tegeta kwenda Temeke au kutoka Kinondoni kwenda Chang'ombe au kutoka Temeke kwenda Keko mtu anajipumnzisha
 
guest+ya+ajabu.jpg
 
mzee wa kona za uswazi hii tatmini yako kiboko ingawa ina ukweli...kwanza keko zipo nyingi,machungwa,magurumbasi,mwanga,juu,chini,ddc,fenicha etc huenda ni sababu lakini pia kuna vilabu vingi vya kienyeji na wafanyabiashara wengi wa mbao..imagine chumba self contained buku 5

mkuu hebu nitajie hiyo guest yenye chumba cha buku 5 cha self contained
 
Ukiangalia kwenye kitabu cha wageni utakuta kutoka Tegeta kwenda Temeke au kutoka Kinondoni kwenda Chang'ombe au kutoka Temeke kwenda Keko mtu anajipumnzisha

Hapo kwenye red si bora wakaandika "wahapahapa"
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom