Habari zenu wana JF. kabla hatujamaliza mwaka napenda kutoa kitu ambacho sintosahau 2013. >ilikua april 2013 saa 4 usiku maeneo ya magomeni kagera. nimetoka kununua wali kwa mama ntilie niende kulia geton kwangu. pind narud nakatza kona ya 1 ya 2 tu gafla nikawahiwa NILIPIGWA ROBA YA MISUMAL NA TEJA WA KIKE MPAKA HAJA KUBWA IKATOKA BILA KUJIJUA. Nilihisi roho imetoka wakachukua ule wali nilinunua pamoja na chenj zilizokua zimebaki 3500, kiukwel niliumia sana wik 2 sili ugal wala wal ilikua ni uji tu. VIPI WEWE MDAU NI JAMBO GANI HUTOSAHAU 2013.