Sintofahamu ya alipo makamu mwenyekiti wa BAVICHA taifa Ndg. Sosopi

Mpuuzi ni wewe unaenuka Mdomo.

Shetani mkubwa wewe, unashabikia binadamu mwenzio alotekwa. Subiri atekwe mkeo aliwe 0713 alafu ndo uje hapa na upuuzi wako..
Hivi angekuwa ametekwa kweli mgejua kama alichukuliwa na polisi?
 
Waziri Mkuu amesema awamu ya tano bado changa kiuongozi, hivyo tuvumilie kwa hayo yanayotendeka kwani yatajirekebisha tu mbele ya safari. moni yangu: Sijajua alimaanisha nini kwa usemi huu!!!!!!!
 
hawajui kuwa miaka mitano ni kiduchu.. Watakuta hawajafanya lolote hakuna kiwanda wala kiwanja cha kiwanda
Waziri Mkuu amesema awamu ya tano bado changa kiuongozi, hivyo tuvumilie kwa hayo yanayotendeka kwani yatajirekebisha tu mbele ya safari. moni yangu: Sijajua alimaanisha nini kwa usemi huu!!!!!!!
 
Huyo kamanda wenu ana kesi ya uhaini. Kuhamasisha wananchi walipindue jeshi la polisi ni uasi na uhaini. Kama meza kuu ndio ilomtuma basi imekula kwake lowassa hatomwona uko segerea.
Unatakiwa umtaje Lowassa mara ngapi kabla hujaonekana na kupewa cheo?
 
Kuna siku Polisi watalazimisha watu kufanya yale wasiyoyataka kuyafanya
 
hata chadema madaraka yanapatikana hivyohivyo! kabla hujafika kwa wakuu wa nchi , anza na hao wa chadema!!

Mkuu CCM ni chama dola, na ndio chama ambacho bado kina asilimia nyingi za kuendelea kutawala, ikiharibikiwa CCM basi jua limeharibikiwa taifa maana yenyewe ndio inapanga safu na kusimamia kila kitu tanzania hapa, hata hilo unalolisema kwa hao wapinzani bila shaka watakuwa wamekopi kwa CCM pia, lakini lazima uelewe kuwa tabia mbaya huwa ni tabia mbaya tu no matter amefanya nani.

Fahamu kwamba CCM ndio chama dora na maendeleo ya taifa letu yanasimamiwa kwa 100% na CCM, kukosekana watu serious CCM jua kwamba ni kukosekana umakini kwenye dola na matokeo yake ni kufail kwa taifa..

Tuache ushabiki wa vyama ila tushirikiane taifa lisonge mbele kwa maslahi ya watanzania wote, narudia tena jambo baya huwa ni baya tu vinginevyo ni ushabiki tu...
 
unamaanisha chadema wanacopy makosa ya ccm? haina maana kuwa kwa sababu ccm ni chama dola wanapeana madaraka kwa kujuana basi cjadema nao wapeane madaraka kwa kujuana!
 
Back
Top Bottom