Sintah alikwama sana kwa Juma Nature

NORA
Johari.jpeg
 
NORA zao la KAOLE SANAA GROUP akiwa na akina

dr cheni
biko
nyama yao
kibakuli
swebe
muhogo mchungu
pwagu

na wengineo
 
Idd Ligongo
Sinta
Nora
Nina

Aisee nilikuwa nawapigia nyeto.
Hasa Nora yani alifanya niwe namchukia Dr Cheni, vile wakiigiza kama mpenzi wake alafu mara aigize analiwa na yule dogo jina limenitoka alikuja kuwa mtangazaji wa ITV badae.

Time flies saizi sio mastaa tena. Enzi hizo insta zetu ilikuwa ni kiu, ijumaa, sun ha ha ha

Dumelang
 
Huyu Norah alishindwa kusoma upepo, alipata mume akamuoa kabisa kwa ndoa akawa house wife, alivyoona amesahaulika akalianzisha kwa mume, mume akamwambia achague kuigiza au ndoa akachagua kuigiza akalamba talaka akarudi mtaani, akakuta tasnia imevamiwa na ma miss..kina sepetu uwoya na wengine..akabaki na muvi zake zikakosa mashiko basi tena yupo yupo tu.
Ila huyu sister alivurugika sana kipindi kile.. Kichaa sio kichaa.. Mara picha za uchi.. Tafrani!
 
Aisee! Kumbe walimfanyia mtima nyongo ee,
Cool James huyo maarufu kama Mtoto wa Dandu. Video ilikuwa bomba sana ile. Mahaba kama yote na Sintah.

Halafu Sintah alimdaka mchizi juu kwa juu.. Enzi hizo kuna wadada wa mjini tena wengine walitajwa na Mwana FA kwenye 'Mabinti' ambao wao walikuwa wakivizia ma-don wakitua Bongo tu wanajilengesha mahotelini huko. Enzi za ujip wa akina Sean Paul, Shaggy na vipusa kibao tu. Acha kabisa!

Michezo hiyo imefanywa sana na dada zangu Mboni Mhita wa The Mboni Show, Rashida Wanjara, Mange Kimambi, Jestina George, Shamimu na wengine siwataji hapa maana wana heshima zao hivi sasa wameshaolewa.

Bydway, jamaa (Cool J) alifanya mapinduzi makubwa sana ya muziki wa Bongo akiwa behind the scenes. Aliishi mbele Ila aliwekeza sana akili yake hapa Bongo. Wahuni wa Bamaga wakamfanyizia na kumfuta kabisa kwenye uso wa dunia mamaee...

Ameacha legacy moja tu nayo ishaelekea kuzimu. Kili Music Awards!

Nimechoka kuandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah! Kweli maisha yamesogea..tulikuwa tunaanza J3 kwa kusoma gazeti la ijumaa wikienda,uwazi,Risasi,Alhamis Gazeti Amani,mwisho tunafunga na gazeti ijumaa,kweli Shigongo alituweza
Mzee umetisha sana.. Wiki nzima mtu unakula ubuyu tu! Siku nyingine yanatoka mawili.. Unasoma hili, huku unatamani lingine.. Ukilaza kesho yake unanunua na la jana..

Instagram shenzy kabisa!
 
Back
Top Bottom