mwaki pesile
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 340
- 487
NORA
Ha ha haa! Okwi naye!Okwi alipiga mzigo hapa dem akadai mshikaji ana mkono wa Sweta akasahau waganda ni kama ndugu zetu Wahaya wanaamini anaestahili kutahiliwa ni muislam tu....
Sinta
Nora
Nina
Aisee nilikuwa nawapigia nyeto.
Hasa Nora yani alifanya niwe namchukia Dr Cheni, vile wakiigiza kama mpenzi wake alafu mara aigize analiwa na yule dogo jina limenitoka alikuja kuwa mtangazaji wa ITV badae.
Time flies saizi sio mastaa tena. Enzi hizo insta zetu ilikuwa ni kiu, ijumaa, sun ha ha ha
Dumelang
Ni kweki kabisaIdd Ligongo
Huyu ni NORAH.
Johari si Nora.
Rest in peace mzee wetuMzee machache naye Kumbe alipitaga!
Huyu mzee katuzidi pesa mpaka kugegeda.
Ila huyu sister alivurugika sana kipindi kile.. Kichaa sio kichaa.. Mara picha za uchi.. Tafrani!Huyu Norah alishindwa kusoma upepo, alipata mume akamuoa kabisa kwa ndoa akawa house wife, alivyoona amesahaulika akalianzisha kwa mume, mume akamwambia achague kuigiza au ndoa akachagua kuigiza akalamba talaka akarudi mtaani, akakuta tasnia imevamiwa na ma miss..kina sepetu uwoya na wengine..akabaki na muvi zake zikakosa mashiko basi tena yupo yupo tu.
Anaitwa mzee ferejMambo yalikuwa safi sana, aliolewa na diwani wa kata gani sijui ila lilikuwa zungu la poda sijui na hali hii ya jiwe anafanya biashara gani, alikuwa na pesa haswa.
Akivaa na kimini lazima useme yesdaah na macho yake matamu ya kukutia nyegezi akikuangalia
yupo maeneo ya magomeni mikumi, nishawaimfuma pande zile several times
Hapana Nina na Norah ni watu tofauti,Norah alikuja kuolewa na yule mganga Ng'wizukulu Jilala,baadaye ndoa ikavunjika..sijui kapotelea wapiNina ndio Nora?.. Yule White!?..
Cool James huyo maarufu kama Mtoto wa Dandu. Video ilikuwa bomba sana ile. Mahaba kama yote na Sintah.
Halafu Sintah alimdaka mchizi juu kwa juu.. Enzi hizo kuna wadada wa mjini tena wengine walitajwa na Mwana FA kwenye 'Mabinti' ambao wao walikuwa wakivizia ma-don wakitua Bongo tu wanajilengesha mahotelini huko. Enzi za ujip wa akina Sean Paul, Shaggy na vipusa kibao tu. Acha kabisa!
Michezo hiyo imefanywa sana na dada zangu Mboni Mhita wa The Mboni Show, Rashida Wanjara, Mange Kimambi, Jestina George, Shamimu na wengine siwataji hapa maana wana heshima zao hivi sasa wameshaolewa.
Bydway, jamaa (Cool J) alifanya mapinduzi makubwa sana ya muziki wa Bongo akiwa behind the scenes. Aliishi mbele Ila aliwekeza sana akili yake hapa Bongo. Wahuni wa Bamaga wakamfanyizia na kumfuta kabisa kwenye uso wa dunia mamaee...
Ameacha legacy moja tu nayo ishaelekea kuzimu. Kili Music Awards!
Nimechoka kuandika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee umetisha sana.. Wiki nzima mtu unakula ubuyu tu! Siku nyingine yanatoka mawili.. Unasoma hili, huku unatamani lingine.. Ukilaza kesho yake unanunua na la jana..Daaah! Kweli maisha yamesogea..tulikuwa tunaanza J3 kwa kusoma gazeti la ijumaa wikienda,uwazi,Risasi,Alhamis Gazeti Amani,mwisho tunafunga na gazeti ijumaa,kweli Shigongo alituweza
Sinta kapewa nn?Mzee machache naye Kumbe alipitaga!
Huyu mzee katuzidi pesa mpaka kugegeda.
MmhAisee! Kumbe walimfanyia mtima nyongo ee,
kamuulize mkuuSinta kapewa nn?