Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,520
- 2,091
Aliitwa Cool James Mtoto wa Dandu alifariki kwa ajali ya gari opposite na Millennium TowerHii ya kupigwa denda mpaka gari kugoma kwenda kuna msanii mmoja anahusika sasa ni marehemu.
Alikufa kwa ajali ya gari mitaa ya kati ya Morocco na Mwenge( hapo kati).
Huyo Sinta aliwahi kuwa video vixen kwenye wimbo wa huyo msanii, jina la wimbo lilikua linaitwa MPENZI,
Hii video ndio ilileta mapinduzi katika video zilizohusisha na video vixen kucheza nusu utupu bongo, narudia tena hii ndio video ya kwanza bongo ambayo ingebidi ifungiwe na basata kama ingekua ni leo, maana kwa kipindi kile ilikua ni video iliyokua na matendo ya wazi sana.
Wasanii na madirector wa bongo ndio wakaanza kufanya zao baada ya hiyo.
Huyo msanii(marehemu) alikua mwenyeji wa mikoa ya kanda ya ziwa ambae alikua anaishi nje ya nchi( SWEDEN Kama sijakosea).
Ndio moja ya wasanii wa kwanza kwanza kutoboa akiwa sambamba na kina SUGU.
Sent from my iPhone using JamiiForums