Sintah alikwama sana kwa Juma Nature

Nasikia aliwahi kufuatwa na mmama fulani baada kugundua anatoka na mumble, na kumpa kipigo huku nature akishuhudia, na Nature mkaingiza kipande cha shairi ktk wimbo wake nanukuu nikishuhudia kipigo anachopigwa mwezi chuo kukuu mlimani.
 
Sinta
Nora
Nina

Aisee nilikuwa nawapigia nyeto.
Hasa Nora yani alifanya niwe namchukua Dr Cheni, vile wakiigiza kama mpenzi wake alafu mara aigize analiwa na yule dogo jina limenitoka alikuja kuwa mtangazaji wa ITV badae.

Time flies saizi sio mastaa tena. Enzi hizo insta zetu ilikuwa ni kiu, ijumaa, sun ha ha ha

Dumelang
Biko.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Nature huyu dem alimpenda sana,alipomzingua akamtungia nyimbo tatu za kumponda (Sitaki Demu na rmx yake,Inaniuma sana) .
 
Mzee machache alikuaga na mtoto mmoja mzuri wa kimasai,,

Huyo mtoto akaja kuondolewa na sinta. Sinta nae akaja kuondolewa na k nani cjui yule mrembo wa miss tz,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha huyo huyo kumbe jina lake ndio limebeba Jina la bahati nasibu

Dumelang
Hahahaa IDD LIGONGO aka BIKO
1063447
 
Kuna wakati alienda kutangaza Radio Clouds Mwanza,pale jengo la CCM round about...akiwa na mtangazaji wa Clouds ya Mwanza ambapo kuanzia saa 9 wanajiunga na Clouds Mwanza na Dsm hawasikiki,huyu jamaa wa Mwanza jina limenitoka kidogo.

Alipofika Mwanza,kuna bwanamdogo mshamba tu alikuwa anaitwa Jose Masamaki akambeba Sinta,enzi hizo anamiliki mitumbwi na samaki inakufa sana ziwani.Alikuwa anakula bata pale Deluxe Hotel barabara ya Uhuru karibu na Salma Corn.Pale Delux ilikuwa kijiwe cha wahuni wa kutoka Migodini Geita na vijana wa Samaki Mwanza.

Kulikuwa kuna Malaya wanajiuza toka Rwanda ila wanajidai ni Wanyambo wa Karagwe...Kuna jamaa yangu tumeenda Mwanza akalala hapo Deluxe na mtoto wa Kigali,asubuhi akakuta hata suti aliyotundika ukutani kuvaa kaa ajili ya semina imetunguliwa.
Hahaha alivaa nini sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marehemu George Tyson akamuacha Amina Chifupa akaenda kwa Monalisa! Marehemu Meddy Mpakanjia akamuacha Monalisa akaenda kwa Amina Chifupa!
RIP George Tyson
RIP Meddy Mpakanjia
RIP Amina
Duuuuh Monalisa naona kama kuna "GRIDI" hapa.
 
Back
Top Bottom