Single ya chenge

Yo yo yo Chenge hapa,nakuja kuwashikaaa
Toka masaki mpaka O’bay,
Ni Andrew Chenge,speed 120 kwenye BAJAJ nshaaa!
Nipe Down nikupe Flow,Mi sio Bishoo naitwa Andrew Chenge,
Polisi nawaona kama Kenge,
Natembea bila BIMA,Hakuna wa Kunizima,
Leseni Kitu gani,Napita tu Mtaani wa kunishika ni nani,
Anha..ni Andrew Chenge, a.k.a Mzee wa vijicent..Bongo records yoo.. Mako Chali…MJ recods… aah wapi Saidi comoriee.

wasalamu
doup

Yo Yo?
 
Yo yo yo Chenge hapa,nakuja kuwashikaaa

Toka masaki mpaka O'bay,

Last edited:

Umenichekesha mdau na shairi lako hili! LOL!

big up!!
 
Yo yo yo Chenge hapa,nakuja kuwashikaaa

Toka masaki mpaka O’bay,
Ni Andrew Chenge,speed 120 kwenye BAJAJ nshaaa!
Nipe Down nikupe Flow,Mi sio Bishoo naitwa Andrew Chenge,
Polisi nawaona kama Kenge,
Natembea bila BIMA,Hakuna wa Kunizima,
Leseni Kitu gani,Napita tu Mtaani wa kunishika ni nani,
Anha..ni Andrew Chenge, a.k.a Mzee wa vijicent..Bongo records yoo.. Mako Chali…MJ recods… aah wapi Saidi comoriee.

hiyo singo inaniongezea usingizi. ongeza na koras mazee
 
Vipi ymeshaipima single kwa Solfa ladder na solfa note inakubali??? Unajua tena mziki sauti!!! Otherwise keep it up.
 
Back
Top Bottom