SINGLE NAME FACEBOOK

Alfred

JF-Expert Member
Apr 13, 2008
1,609
1,841
wadau naombeni kujua jinsi ya kutumia jina moja Facebook....but its possible Ila nmeshindwaa....!!! naombeni mnisaidiee vijana wangu wa nguvu
 
Kumbe Mpaka Utumie Proxy Ya Indonesia Vpn
ndio mkuu
hiyo nchi watu wengi wanatumia jina moja tu bila jina la baba/ukoo sasa ili uweze kutumia jina moja inabidi uwaonyeshe facebook kuwa upo indonesia kwa kutumia Vpn
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom