Yani kuna mmoja sikujua ni single mom.
Daa hiyo akili alonayo kwakwel she is not OK.kisaikolojia kaathirika sn.
 
Sio usmart, Ila huo utamu hauna kwakweli.
Ha ha ha ha kuna mwenzio alikuwa na mawazo kama yako, mko wengi sana. Endeleeni kuwaza hivyo hivyo, in fact ndio napenda muwe na mawazo hayo.
 
Sio mawazo tu ujue!!
Umewahi kuishi na mimi? Umewahi kuonana au kuongea na mimi? Au kuna mtu aliewahi kuishi na mimi kakusimulia mimi nikoje? Mawazo yako hayabadili ukweli.
 
You are not alone....Keep hating...i'm who I am.
Makubwa haya!!
Sasa nikuchukie kisa!! Hizo ni hisia zako.
Labda useme unanichukia thats why unahisi ninakuchukia, wanasema kimjazacho mtu ndicho kimtokacho!!!
 
Makubwa haya!!
Sasa nikuchukie kisa!! Hizo ni hisia zako.
Labda useme unanichukia thats why unahisi ninakuchukia, wanasema kimjazacho mtu ndicho kimtokacho!!!
chuki huwa haijifichi....wewe ndio kabisa huwezi kuzuia chuki zako....at least wenzio wanaishia whatsApp
 
I'm gonna give you all of my love,
Nobody matters like you uuuu uuu u.

[Only singing].


..So Rockabye baby Rockabyee, am gonna rock you!, rockabye baby don't you cry, am gonna rock youuu!..

{Ony singin'}
 

Similar Discussions

31 Reactions
Reply
Back
Top Bottom