Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Of course n single mother we umemkuta mtu ana mtt mmoja hujui historia yake analea mwenyewe, what would u call her? Kama sio single mother
...Kama uko makini kwenye kutafuta a life partner (mke) nitachunguza na kubaini kama una mtoto, na eventually nitajua tuu kama huyo mtoto ulimpata kwa ndoa au bila ndoa. It is possible mwanamke husika akajaribu kukuficha, especially kama muoaji ana papara but seriously utajua tuu. Single mothers wa leo ni wale ambao wameamua by choice as their lifestyle.
 
...Kama uko makini kwenye kutafuta a life partner (mke) nitachunguza na kubaini kama una mtoto, na eventually nitajua tuu kama huyo mtoto ulimpata kwa ndoa au bila ndoa. It is possible mwanamke husika akajaribu kukuficha, especially kama muoaji ana papara but seriously utajua tuu. Single mothers wa leo ni wale ambao wameamua by choice as their lifestyle.
M nahisi unaongelea wa mjin may be wasomi, hebu fanya research kidogo vijijin so usigroup wa leo sema baadhi, mana vijijin hili n tatizo pia fatilia if its by choice ndo utoe hoja we unawaongelea single mother wa Dar na mijin tena waliosoma
 
Bala shaka ndio ukweli kiupande mwingine...
Maana ! Hata ndio isipopatikana sawa....lakni kukosa mtoto na umri unaenda si mchezo kwa sisi wanawake unaweza kuzaa na mtu hujategemea ili mradi upate mtoto tu.
Hii ni kweli asee Bora nikose ndoa kuliko kukosa mtoto stress zake sio za nchi hii
 
Weng wao ila sio wepes kusema ukweli na marafiki waliopitia hili pia majiran, ndugu ,aseme ukweli na n tayar mke wa mtu hathubutu NB, muamini mwanamke uliemkuta na bikra original
...This is partly true kama muoaji ana haraka au mchumba anampeleka mbio mbio. But kama uko very serious na ukaweka networks ya kutosha from friends and relatives utamjua mtu mchumba wako kama aliwahi kuolewa au kuwa na mtoto as haya siyo mambo yanayofichika. Again back to the topic single mothers tunaozungumzia kwa sasa in reality is by choice, yaani utasikia wanakuambia aah mi mambo ya stress sitaki au mimi natafuta wa kuzaa naye mtoto nalea mwenyewe.
 
Single mother is also not by choice in most cases, especially mkoa niliopo ndoa zinafungwa sana but watu wakishazaa mtt mmoja au wawil zinavunjika karibu asilimia 80 ya ndoa hz, another case n kwamba mtu kafiwa na mumewe hakuchagua hilo, so sidhan n choice coz single maza weng n matokeo ya mifarakano
Bila kuathiri mada yako..single mother ni yule aliyezaa nje ya ndoa kwa definition inayotambuliwa na jamii.

Hao wengine wana majina yao; mjane, mtalaka.

Ila popote unapokuta watu wanaongelea single mother hayo makundi mawili usiyaingize hapo.

Baada ya kusema hayo, sasa endelea na mjadala wako.
 
Mwenye mtoto nampa tano, lakini maisha ya uzeeni ili yanoge ni mtu na mwenzi wake. Ajitahidi apate mwenza wa kumalizia safari iliyobaki . Maisha ya ndoa bila mtoto nayo yana huzuni. Wote hawawezi kuwa na matatizo, hivyo ambae hana tatizo alete mtoto kwenye familia, mtasema naendekeza umalaya, sasa ufanyeje? Unyong'onyee tu mpaka mwisho wa maisha au uchangamke? Mtoto ni faraja kwenye familia
 
Bila kuathiri mada yako..single mother ni yule aliyezaa nje ya ndoa kwa definition inayotambuliwa na jamii.

Hao wengine wana majina yao; mjane, mtalaka.

Ila popote unapokuta watu wanaongelea single mother hayo makundi mawili usiyaingize hapo.

Baada ya kusema hayo, sasa endelea na mjadala wako.
ed36f6a33f7e267244071c95fe7d1dec.jpg
 
Bora stress za kuitwa single mother kuliko mgumba
Kuchelewa kuzaa ni tofauti na ugumba. Kutokana na lifestyle za mjini sasa hivi hili limekuwa tatizo kubwa ktk ndoa nowadays.faraja au sio faraja inategemea na muhusika na Jinsi Suala zima lilivyopokelewa na muhusika/wahusika.faraja huwezi kuiona ktk sura ya mtu au kutokana na maneno yake.

Kuwa single mother ukiwa unahitaji mwenza na humpati au kuchelewa kupata mtoto, zote ni changamoto zinazohitaji uvumilivu na utulivu WA Hali ya juu. Faraja utaipata utakapomwachia mungu akuonyeshe njia mwenyewe, kurelax na kutokukata tamaa.trust me. Nimekuwa na watu wenye situation hizo mbili Kwa ukaribu for more than five years. I know the drill.
 
Kuchelewa kuzaa ni tofauti na ugumba. Kutokana na lifestyle za mjini sasa hivi hili limekuwa tatizo kubwa ktk ndoa nowadays.faraja au sio faraja inategemea na muhusika na Jinsi Suala zima lilivyopokelewa na muhusika/wahusika.faraja huwezi kuiona ktk sura ya mtu au kutokana na maneno yake. Kuwa single mother ukiwa unahitaji mwenza na humpati au kuchelewa kupata mtoto,zote ni changamoto zinazohitaji uvumilivu na utulivu WA Hali ya juu. faraja utaipata utakapomwachia mungu akuonyeshe njia mwenyewe, kurelax na kutokukata tamaa.trust me. Nimekuwa na watu wenye situation hizo mbili Kwa ukaribu for more than five years. I know the drill.
Ni kweli mkuu na hii ni kila mtu na kiwango chake cha uvumilivu
 
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana,

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu,

Dunia imeelemewa na wingi wa single mother.Inasemekana palipo binadamu 10 kuna singo mother 7.

Hata JamiiForums kati ya wanawake 10 bas 9 ni single mother.

London kwa sasa niko mbioni kuja na tiba mbadala ya kupunguza tatizo hili sugu ambalo kwa sasa limekuwa kubwa sana Ulaya, America na Afica hasa kwa Kenya na Tanzania.

Wasomi kutoka chuo kikuu cha Rumis huko America ya Kusini wamesaini waraka wa kumaliza tatizo hili.

Msomi John Cater amesema wako mwisho mwishoni kuja na suluhisho la kudumu.


LONDON BABY
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu


dunia imeelemewa na wingi wa singo maza

Inasemekana palipo binadamu 10 kuna singo maza 7

Hata jamii forum kati ya wanawake 10 bas 9 ni singo maza


London kwa sasa iko mbion kuja na tiba mbadala ya kupunguza tatizo hili sugu ambalo kwa sasa limekuwa kubwa sana ulaya, america na afica hasa kwa kenya na tanzania


Wasomi kutoka chuo kikuu cha rumis huko america ya kusin wamesain waraka wa kumaliza tatizo hili

Msomi john cater amesema wako mwisho mwishon kuja na suluhisho la kudumu


LONDON BABY
Mkuu kwani kunakuwaga na double mother au unamaanisha single parents
 
Hili tatizo Tz in 10yrs or 20yrs to come itakuwa disaster kubwa sn.

Maajabu videmu havina akili. Vina leta nyodo. Ma men wana wadampu fasta.

At 20s to 35 huwa wanaona raha sana. "Wanasema Niko huru, sinabanwi, mambo ya kupangiana staki, nakula bhata hadi nachoka, club,nk"

At 40 yuko lonely balaa. Ana 4 kids, @from a different man. Hapa ndio patamu..

Weee waache tu. Nigeria & Kenya Wana andamana hawaolewi, Tz wanawake wanachezea wanaume. Subirini...kiama kinakuja.
 
Back
Top Bottom