Single mothers na vilio vya kushangaza

wanaume ni wangese sana.hata mkipanga ubebe mimba itakimbia tu mimi naona usalama wa mwanamke ni kuwachukia hao mashetani na kuachwa kutombwa basi fanya kazi tafuta hela lipa bill zako uzinzi tupa kule wacha wafirane wenyewe
Pole sana Miss inaonekana yaliyokukuta ni zaidi ya maandiko yako!
 
wanaume ni wangese sana.hata mkipanga ubebe mimba itakimbia tu mimi naona usalama wa mwanamke ni kuwachukia hao mashetani na kuachwa kutombwa basi fanya kazi tafuta hela lipa bill zako uzinzi tupa kule wacha wafirane wenyewe
Aloooooo!!!!
Pole sana miss maaana uliyapitia hayasimulik maana unatuchukia wanaume c kwa kias hiki
 
Na hivi hamuwezi kukojoa nje, dawa yenu ni kuwanyima chiu tu. Mi sijawahi fanya haya makosa ila nawaonea huruma sana wadogo zangu. Kama mimba imetokea planned au unplanned shikeni majukumu, mnavyowalaumu nakuwasimanga wadada utadhani ulishindwa kupull out msyuuuuu.

mi ni mwanamichezo na mgumu haswa...muumini wa grit and grind kwenye michezo yote ninayocheza...ila dadangu nakuhakikishia....HAKUNA MCHEZO MGUMU KAMA HUU WA KU-PULL OUT!! bora nisifanye kabisa aisee.
msitulaumu kwenye hili jameni
 
Tuseme tu ukweli kuna wadada wengi au wamama siku hizi wanaamua kuzaa tu....hasa umri fulani ukifika na wengine wanaamua kuzaa kabla hata wa kuzaa nae hajatokea...

Sasa kimbembe kinaanza anaposhika mimba....au akishazaa na mtu ambae si ajabu hakuwa na mipango ya kuzaa na huyo mwanamke

Wadada wengine wanaamua kutumia mimba kulazimisha commitment au ndoa......Asipopata hiyo ndoa au hiyo commitment ni kumlaani huyo mwanaume na kutumia mimba au mtoto kama njia ya kumkomesha huyo mwanaume..

Siku hizi unakuta vilio vya wadada kuwa 'wanaume hivi na wanaume vile'
lakini ukweli sio wote walidanganywa wataolewa au waliahidiwa commitment

Wengine kupata mimba na kuzaa ilikuwa ni mipango yao binafsi..lakini wakishazaa wanaanza kubadili maneno...utasema waliahidiwa kweli kuolewa
au waliahidiwa matunzo ya mtoto in the first place kabla hawajashika mimba...

Ni busara kwa kila mwanaume kushiriki matunzo ya mimba inayomhusu
na matunzo ya mtoto wake......lakini wote tunajua busara sio kila mtu anayo
na wadada wanaojichukulia maamuzi binafsi ya kuzaa ni busara pia wakaacha kulialia.....kama vile maamuzi hayo yalikuwa ya watu wawili
na wengine husingizia kwa ndugu kuwa waliahidiwa ndoa...kumbe ni maamuzi yake binafsi kuzaa.......dunia imebadilika.... tupunguze lawama tukabili changamoto za maamuzi yetu...
ishanitokea nilichoamua kulea mtoto kusomesha kwamoyo na kumjali ilano ndoa maana sikupanga nae wala hatukuwa tumeahidiana na sio mtoto mdogo kanizidi miezi kadhaa kiumri na mi ni 30 ...ntaoa mwingine mimi bado nareview
 
Hakuna mtu aliyechagua kuwa single mom, it just happens na hakuna jinsi. Hawa single moms mimi nawaheshimu sana, they're stronger than us all, they are fighers, breadwinners kwa watoto wao, mara nyingi wanakuwa bullied lkn still they keep going.

You need an iron chest kuwa single mama. Ni watu kamwe siwezi kuwasimanga.

Hats off to all single mama who are disrupting status quo. Salute!

Thank you. Tunavumilia mengi jamani. Ila wanaume wa JF wana masimango sana. Yani wanaweza wakakufanya mkosaji kuliko mtu mwingine kwenye dunia hii.
 
aisome Mzigua90[/QUOTE

Kwanza sikuahidiwa ndoa na baby daddy na hata angeahidi nisingekubali sababu hatukua serious kiasi cha kuongelea ndoa, hatukuwahi kuwa commited, hakuwahi kuahidi kunisupport nikibeba mimba aliahidi baada ya mimi kujifungua, sikubeba mimba kumkomesha kwa sababu sina tatizo nae lolote la kumkomesha, na kingine sikuwahi kuforce kutaka mtoto. Sasa mimba ilivyoingia na nilikua natumia kinga ulitaka nitoe? Embu subiri watoto wako wa kike waje wawe single moms tuone kama utavuta mdomo kuwasakama kama unavyonisakama mimi.
Nonsense.
 
Pole sana Binti Kiziwi,you have spoken a very heart touching words!
Thanks nishapoa kabisa kitambo, nina A very responsible husband na wanetu wawili, ila likija suala la hizi discussion za usingle mom, ntapiga kelele mpaka watu wadhani mimi ni victim, yes mi ni victim kwa sababu mi ni products ya single mama, kwa maana babaetu alitutelekeza kwa mama since tukiwa wadogo (mi na kaka yangu). Sitaki sana kujua sababu ya sisi kutelekezwa pengine ndio gubu za wanawake lakini itoshe tu kusema hatukudeserve kuishi tulivyoishi ikiwa babaetu mzima wa afya na anauwezo wakutosha tu kutulea.

Speaking of single mothers nikivaa viatu vyao huwa vinanibana kabisa, hawa watu wanahustle, wana suffer ili tu watoto wao wasurvive, hawa ni wale wenye vipato hata kama ni vidogo kama alivyokuwa mamangu, sometimes wanafanya dirt games for wellbeing ya familia, nakumbuka kuna kipindi nilikuwa nikifukuzwa ada nikirudi nyumbani mama hadi pressure itampanda, lakini atafanya chochote apate ada mwanae nirudi shule, ikafika kipindi nilivyokuwa mdada nikifukuzwa ada hata nyumbani sirudi, ntaitafuta hadi niipate (hapa baba yupo na ukipiga simu anakujibu mwambie mamaako anipigie we unanipigia kama nani)

Kuna time nikiwa 1st year kaka yuko 4th year mama akinitumia hela mi namtumia kaka namwambia we tumia mi ntapata zingine hii yote ni kuepusha usumbufu kwa bimkubwa, yaani nikiwaza mama alivyokuwa akivuja jasho kututunza napata hasira kuana single mothers wanakuwa mocked na kutukanwa kila siku kwenye jamii, naumia naumia naumia. Mngejua nyie wanaume jinsi hawa wadada/ wamama wanavyoishi ndani mwao wakitoka nje wameoga wamependeza kuficha dhiki zao msingesema chochote juu yao.

Single mamas wanatakiwa kuthaminiwa, kutiwa moyo na kusaidiwa ili kuheal vidonda vyao na kufuta machozi sio mnavyowafanyia. Ni vile tu hamuwezi kuelewa mpaka mtakapoelewa !
 
Thank you. Tunavumilia mengi jamani. Ila wanaume wa JF wana masimango sana. Yani wanaweza wakakufanya mkosaji kuliko mtu mwingine kwenye dunia hii.
Achana nao hao, wala wasikuumize kichwa ukichunguza kwa makini utakuta wengi wao wana watoto walowakimbia, wamezaa nje ya zao hawana jema hawa la mno hawakuwezeshi kuishi. Ni maneno ya wakosaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom