Single mothers: Mnachukuaje tahadhari ikiwa una mwanaume na una binti umri wa 19-20?

Tatizo unakuta mtoto mwnyw ndio anakuwekea mpira upige penati
Si ndio maana tunaomba Wababa ndio waweke maadili mbele?

Kuna vitoto kweli havina aibu wala haviogopi umri, nimeshakutana nao sana tu, ni kumuomba Mungu akuepushe na vishawishi.
 
Kijijini kwetu pia jamaa aliwazalisha mama na mtoto wake hapa sielewi hawa watoto wanaitanaje?
Na mi nimewaza hiki kitu.. Hapa ndo mtagundua kiswahili bado ni lugha changa maana haina jina la huu uhusiano wa watoto[/QUOTE]Kwani kwa lugha ya malkia wanaitanaje ?
 
Na mi nimewaza hiki kitu.. Hapa ndo mtagundua kiswahili bado ni lugha changa maana haina jina la huu uhusiano wa watoto
Watabaki kuwa Dada na Kaka kwani Mpanzi a.k.a Dingi wao ni mmoja.[/QUOTE]Kwani kwa lugha ya malkia wanaitanaje ?
 
Na mi nimewaza hiki kitu.. Hapa ndo mtagundua kiswahili bado ni lugha changa maana haina jina la huu uhusiano wa watoto
Watabaki kuwa Dada na Kaka kwani Mpanzi a.k.a Dingi wao ni mmoja.[/QUOTE]Kwa sehemu watakua aunt/uncle coz m1 amezaliwa na mama wa mama ake (yule aliye zaliwa na binti wa single mama ) na kwa sehemu nyingine watakua kaka na Dada coz wamezaliwa kutoka kwa baba 1 this relation is awesome
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom