Single mothers: Mnachukuaje tahadhari ikiwa una mwanaume na una binti umri wa 19-20?

Hizi ndio changamoto haswa ya kuzaa na mmoja, kuolewa na mwingine. Wanaume wa sasa hawana soni, wanakula mama na mtoto under one roof.
 
Hizi ndio changamoto haswa ya kuzaa na mmoja, kuolewa na mwingine. Wanaume wa sasa hawana soni, wanakula mama na mtoto under one roof.
Ila kwa maisha ya zama hizi hiyo hali haikwepeki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom