Single mother anahitajika Umri 29-39

Omukailee

Member
Jul 20, 2020
38
30
Mim ni kijana wa Umri wa miaka 37 namtafuta single mother au mwanamke yeyote wa kuwa nae kwenye mahusiano ambayo ni serious
Sifa: awe serious na mahusiano
Umri Kama nilivobainisha hapo juu
Sababu ya umri huo ni kwasababu watu hawa huwa wametulia kiasi na wako na inspiration ya juu hasa katika kufikia ndoto zako..kimawazo,
Karibu.
 
Mim ni kijana wa Umri wa miaka 24 namtafuta single mother au mwanamke yeyote wa kuwa nae kwenye mahusiano ambayo ni serious
Sifa: awe serious na mahusiano
Umri Kama nilivobainisha happy juu

Miaka 24??????????????
 
Shekh unachokitafuta ni kujiua taratibu hao watu sio kabsa especially ukipata mchagga ndio kabsa.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Mim ni kijana wa Umri wa miaka 24 namtafuta single mother au mwanamke yeyote wa kuwa nae kwenye mahusiano ambayo ni serious
Sifa: awe serious na mahusiano
Umri Kama nilivobainisha happy juu
Sababu ya umri huo ni kwasababu watu hawa huwa wametulia kiasi na wako na inspiration ya juu hasa katika kufikia ndoto zako..kimawazo,
Karibu.
unataka kunyonywa damu na super woman
 
Mim ni kijana wa Umri wa miaka 24 namtafuta single mother au mwanamke yeyote wa kuwa nae kwenye mahusiano ambayo ni serious
Sifa: awe serious na mahusiano
Umri Kama nilivobainisha happy juu
Sababu ya umri huo ni kwasababu watu hawa huwa wametulia kiasi na wako na inspiration ya juu hasa katika kufikia ndoto zako..kimawazo,
Karibu.
Kafanye kazi kijana,kulelewa si kuzuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom