Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,062
Huyu jamaa ni mtoto wa mmoja wa waanzilishi wa Dow Jones Indexes. Hii kitu ilianzihswa kama sikosei na Babu yake aitwaye Edward Jones pamoja na jamaa wengine wawili, Charles Dow na Charles Bergstresser.
Kwa hiyo, duniani, jina JONES ni kubwa sana kwenye ulimwengu wa wauzaji na wanunuaji kwenye minada.
Watu huwa wanasifu ile hotel ya Dubai kuwa ni aghali ila ukweli hizi hoteli (Apartments) za jamaa zinaweza kufika hadi $12,000 kwa siku moja. Ila ukifika hapo, basi kila mtu ana mhudumu wake. Hata kama una kitoto, kitoto kinakuwa na mhudumu wake. Sijui kwa chakula pakoje ila ninavyofahamu, Burj Al Arab ukiacha bei, wana sifa moja kubwa sana, pale utapata chakula chochote unachotaka kama umefikia sehemu ya bei mbaya.
Hii ina maana kuwa, ukifika pale uagize ugali kwa Bamia, basi watatuma wanunuzi wakanunue bamia sehemu ya karibu na kuzituma kwa ndege na unga wa mahindi. Ugali utaletewa na bamia zako. Hii ina maana kwa vyakula vya kawaida hata kama ukitaka Mtori, pia wanaweza kukutengenezea. Sijui kama kisusio wataweza

Mkuu Mr Rocky
Nakubaliana na hoja yako kwamba Singita inaweza kuwa ya South Afrika na ni waendeshaji tu wa hizo Lodge.
Bwana Paul Jones ni mtu wa 336 kwa utajiri duniani anamiliki pia kampuni ya Tudor Investment ya huko USA,Bwana Paul Jones anakisiwa ana utajiri wa 3.3 bilion U$.