Singita Grumeti Reserves named as one of the World's Top Hotels | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Singita Grumeti Reserves named as one of the World's Top Hotels

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kinyungu, Jan 9, 2012.

 1. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Lakini ujue kuwa M'bongo wa kawaida hasogezi pua huko kwaajili ya kulala, ni ya watu classic tu!
  Una dola wewe?...una US$ 1200 per night?
   
 3. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  ndio hapo alipokwenda kupumzika mkulo wa nchi kipindi cha christmas!!!! nasikia usiku mmoja zaidi ya $ 10,000
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,788
  Trophy Points: 280
  nani anaimiliki? sio tunapiga makofi kumbe wanaoimiliki ndio hao hao wamarekani.lakini sio vibaya kwa kulitangaza jina
   
 5. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nashukuru kwa taarifa, nitaenda baada ya harusi yangu nikavinjarrri na my wife...
   
 6. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mhhh bei ya pale ni balaa
  US $ 3,000 mpaka 4,000 per night na kuna house No 10 hiyo kulala pale ni zaidi ya US $ 12,000
  Ila iko nje ya Serengeti National Park yaani ukanda wa kaskazini wa SNP na jirani kabisa na eneo la wazi la kijiji cha Makundusi, pori la akiba la Grumeti na Hifadhi ya wanyamapori ya Ikona
  Na iko kilima cha Sasakwa ambacho ukikaa pale juu unaiona Serengeti National Park kwa mbali
  Msiniulize sana mmiliki japo pale nimeenda sana
   
 7. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Saint Ivuga, Cheki Hiyo
  Mtalii anakuja Tanzania.Flight: SouthAfrican Airways Round trip
  Accomodation; Kempsky in Dar-Singita Grumet -Serengeti
  Transport: Overland SafarisHivi
  hapo kuna Sh. Ngapi imebaki Tanzania maana hela zote wamechuka wawekezaji
   
 8. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kama bei ndio ziko hivyo basi hazina urafiki na mtanzania mwenye kipato cha kawaida.
   
 9. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mkuu ndo maana sio watu wa kawaida wanalala pale
  Asilimia kubwa ni macelebrities wa marekani na matajiri kiasi wa uarabuni ila asilimia kubwa ni watu wenye nazo
  Ambaye anakuja pale akiwa amekamilika kuanzia mpishi wake na anakuja na kila kitu anakaa wiki au wiki mbili pale anaondoka
   
 10. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,633
  Trophy Points: 280
  Heshima kwako Mkuu Kinyungu.

  Mkuu Singita Grumeti Reserves ni jina la kampuni inamilikiwa na Mmarekani bilionea Bwana Paul Jones.Huyu jamaa ni balaa akija Tanzania mkuu wenu wa Kaya lazima akimbilie Serengeti kujikomba komba.

  Singita Grumeti Reserves ina lodge mbili na camp site moja zote ziko Serengeti.

  [1] Faru faru Lodge

  [2] Sasakwa Lodge

  [3] Sabora Camp

  Mkuu wangu ni balaa kubwa wazungu na wafalme from Uarabun wanatia pua hapo ni milionea.Bei ya Us 1,200 per night ni kwa lodge ya Faru faru na Sabora nadhani mkuu PakaJimmy alikuwa akizilenga hizo.Sasakwa lodge ni U$ 2,000 per night bila shaka jarida la travel & leisure litakuwa linaizungumzia Sasakwa Lodge.

  Kupitia uwekezaji wa hawa mamilionea wa Kiamerika Serengeti imejikuta ikianza kuipiku Masai Mara kwa kupokea idadi kubwa ya wageni na pengine hii ni sababu kubwa Kenya inalilia soko moja la utalii EA na kufungua mpaka unaotengenisha Serengeti na Masai mara.Serengeti ina ukubwa wa eneo 12,000 sq km wakati Masaai mara ina ukubwa wa eneo 1,510 sq km tu.
   
 11. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  dah live bila zengwe
   
 12. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mkuu Ngongo Kampuni inayomiliki hizo camps na lodge ni Grumeti Reserves Limited na Singita ni kampuni ya South Africa ambayo ndio waendeshaji wa hoteli hiyo na kambi zake. Na ndo maana ikachukua jina la Singita Grumeti Reserves

  Kweli kwa wageni hizo kambi na lodge huwa kwa karibu mwaka mzima zimejaa na ni nzuri sana japo gharama za pale ziko juu
   
 13. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #13
  Jan 9, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,633
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mr Rocky

  Nakubaliana na hoja yako kwamba Singita inaweza kuwa ya South Afrika na ni waendeshaji tu wa hizo Lodge.

  Bwana Paul Jones ni mtu wa 336 kwa utajiri duniani anamiliki pia kampuni ya Tudor Investment ya huko USA,Bwana Paul Jones anakisiwa ana utajiri wa 3.3 bilion U$.


   
 14. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mkuu hayo mengine ya jikoni usiniulize maana na mimi ni mdau wa hiyo Grumeti Reserves Limited so na issue ya lodge ni ya nani na mambo mengine hayo yaache
  Ila ni kweli mmiliki ni PTJ wanavyomwita kwa kifupi
   
 15. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #15
  Jan 9, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,633
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mr Rocky,

  Unajua JF ni kisima cha maarifa hapana haja ya kuficha ficha habari kuna mdau kauliza mmiliki ni nani ?.Nadhani kupitia bandiko langu atakuwa amepata jibu zuri bila chenga.

  Mkuu hata mimi ni mdau mkubwa wa Singita Grumeti Reserves nimeshatembelea Lodge na Camp si kwa maana ya kulala hapana nilikuwa napita kwa maana ya kufanya biashara.Wafanyakazi wote wa Singita Grumeti Reserves kuanzia Arusha Mawala estate mpaka Serengeti nafahamina nao yamkini hata wewe kuna mahali tulishakutana.

  Mkuu napenda kutumia Singita Grumeti Reserves kwasababu Chq,Requisition & Order Form wanalitumia hilo jina ndiyo maana sikukubishia kwamba Singita inaweza kuwa kampuni ya uendeshaji tu.

  Mkuu hata wakuu wote wa wilaya wanaoteuliwa wilaya ya Serengeti ni kwaajili ya kulinda maeneo ya Paul Jones yasivamiwe na mifugo ya wakurya.Mkuu hii ndiyo Tanzania bwana ukijua jambo wajuze na wenzako hapana sababu za kubana habari kwa kisingizio chochote.


   
 16. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #16
  Jan 9, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,633
  Trophy Points: 280
  Picha ya bilionea Paul Tudor Jones na mke wake.

  [​IMG]
   
 17. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #17
  Jan 9, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,633
  Trophy Points: 280
  <!--Start: people top--><SECTION id=peopleTop>

  [​IMG]  <sa:like href="http://www.forbes.com/profile/paul-tudor-jones/"></sa:like>

  <SMALL>shares</SMALL>


  <SMALL>tweets</SMALL>  <HGROUP>[h=1]Paul Tudor Jones II[/h]</HGROUP><DL class=netWorth><DT>Net Worth</DT><DD>$3.2 B As of September 2011</DD></DL>Follow Paul Tudor Jones II
  34

  [h=6]At a Glance[/h]
  • Age: 56
  • Source: hedge funds, self-made
  • Residence: Greenwich, CT
  • Country of Citizenship: United States
  • Education: Bachelor of Arts / Science, University of Virginia
  • Marital Status: Married
  • Children: 4
  [h=6]Forbes Lists[/h]#107 Forbes 400
  #336 Forbes Billionaires  </SECTION><!--End: people top--><!-- Begin: stream --><SECTION id=stream><!--Begin: news stream left rail-->[h=6]Profile[/h]<FORM><SELECT id=profileDisp name=menu> <OPTION selected value="paul-tudor-jones|Forbes 400|2011">Forbes 400: September 2011</OPTION> <OPTION value=paul-tudor-jones|Billionaires|2011>Billionaires: March 2011</OPTION> <OPTION value="paul-tudor-jones|Forbes 400|2010">Forbes 400: September 2010</OPTION> <OPTION value=paul-tudor-jones|Billionaires|2010>Billionaires: March 2010</OPTION> <OPTION value="paul-tudor-jones|Forbes 400|2009">Forbes 400: October 2009</OPTION> <OPTION value=paul-tudor-jones|Billionaires|2009>Billionaires: March 2009</OPTION> <OPTION value="paul-tudor-jones|Forbes 400|2008">Forbes 400: October 2008</OPTION> <OPTION value=paul-tudor-jones|Billionaires|2008>Billionaires: March 2008</OPTION> <OPTION value="paul-tudor-jones|Forbes 400|2007">Forbes 400: October 2007</OPTION> <OPTION value=paul-tudor-jones|Billionaires|2007>Billionaires: March 2007</OPTION></SELECT> </FORM>Paul Tudor Jones' $11 billion (aum) hedge fund,Tudor Investment, is reportedly tinkering with its steep management fees and planning to offer a new share class for the firm's flagship fund. Jones made his first fortune trading cotton on Wall Street. He went on to launch Tudor Investment Corp in 1980. By anticipating the 1987 market crash, he was able to triple his capital. An avid pheasant hunter and bass fisherman, Jones owns property in the Florida Keys and in Zimbabwe. He is the founder of New York's poverty-fighting Robin Hood Foundation, which raised more than $47.4 million at an event last year. [...] more
   
 18. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #18
  Jan 9, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Watz tunabaki kuiona tu kwa nje maana hata gari linalopeleka wageni inaishia getin then magari yao huwapeleka panapohusika!Ngongo umetoa maelezo ya kueleweka kabisa pamoja na Rocky,iko mlimani nje kidogo mwa mbuga ya serengeti!
   
 19. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #19
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,537
  Trophy Points: 280
  Ni Ikona WMA (Wildlife Management Area). Hapo ina maana si shughuli ya uhifadhi pekee, bali pia utumiaji unaozingatia uhifadhi. Kwa hiyo ukisema Ikona ni hifadhi ya wanyamapori, hicho kiswahili chake kinakanganya. Uwa nasikia WMA, kiswahili chake kikisemwa kua eneo la usimamizi wa viumbepori.....

  Kwani kwa hicho kiswahili, tafsiri yake kwa kiingereza inakua Ikona Game Protected Area/Park; na si kweli kwamba Ikona ni hifadhi perse. Grumeti ndio GR; na hicho ndio kiswahili chake fasaha.


  BTW: neno wanyamapori siku hizi linapigwa vita sana; kwani si tafsiri sahihi ya wildlife. Siku hizi neno viumbepori linakuwa advocated kama neno sahihi. Na hii ina make a lot of sense, kwani katika uhifadhi, wote wanyama na mimea pori inahifadhiwa; ukiconsider na jinsi the two zinavyotegemeana.

  Asante.
   
 20. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #20
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,537
  Trophy Points: 280
  Mkuu. Asante kwa habari hii.

  Lakini nikusahihishe, kurya sio kabila ambalo linapatikana sana karibu na maeneo ya Grumeti Game Reserve na Ikona WMA. Waikoma na wasenye ndio wanapatikana sana; tena waikoma wakiwa ndio wengi. Haya makabila ndio yana ugomvi sana TANAPA (kwa upande wa SENAPA eneo hilo; na hiyo kampuni ya bwana Paul Jones.
   
Loading...