Singida: Watu wanne wafariki dunia baada ya Hiace kugongana na Lori

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,149
22,725
Watu 4 wamefariki dunia na wengine 22 kujeruhiwa mkoani Singida baada ya basi dogo la abiria aina ya Hiace kugongana uso kwa uso na Lori aina ya Fuso kwenye barabara kuu itokayo Singida kwenda Arusha

Singida.JPG

Maoni Yangu
Hakuna Serikali hii nchi. Nimeconclude!
 
Kwann unasemanhakuna serikali ?

Kuna vitu vingine ni Binafsi sana haviitaji serikali ikufuate nyuma nyuma sanaa,

Kama serikali ina katazama over speed na mtu ana over speed sasa hapo unataka serikaki ije ikuombe kwa magoti upunguze speed
We ndugu vipi, basi hakuna haja ya kuwa na serikali au vyombo vya dola kama ni hivo, watu munafukiliaje aisee daaah!
 
Kifupi alitaka kusema.
Serikali inataka mpaka Nani afe kwa ajali ndio ianze kuwachukulia madereva wa serikali na madereva uchwara hatua?
Ni hayo tu.
Mimi ningekua ndio serikali ningetoa AMRI kwamba maximum speed on Tanzanian roads ni 55kph.
Hata Kama mabasi yatafika Arusha baada ya masaa 24 potelea mbali lkn wasio na hatia wamefika salama.
 
Mm mtazamo wako ni kuwa maisha yakk ni Mali yako, ww mwenyewe ndio unajukumunla 1 kulinda usalama wako hasa unapokuwa na chombo cha moto

Sasa kama uliambiwa tembea 50 KPH sasa ukazidisha ikafika 100 KPH likikushinda basi sasa hapo ni ile msemo mchumia janga hula na ndugu zakeee
 
Kifupi alitaka kusema.
Serikali inataka mpaka Nani afe kwa ajali ndio ianze kuwachukulia madereva wa serikali na madereva uchwara hatua?
Ni hayo tu.
Mimi ningekua ndio serikali ningetoa AMRI kwamba maximum speed on Tanzanian roads ni 55kph.
Hata Kama mabasi yatafika Arusha baada ya masaa 24 potelea mbali lkn wasio na hatia wamefika salama.
😂😂😂
 
We ndugu vipi, basi hakuna haja ya kuwa na serikali au vyombo vya dola kama ni hivo, watu munafukiliaje aisee daaah!
Sasa wewe kama serikali ipo na vyombo vya dola vipo ndio nini? Kuna sheria za kudhibiti mwendo ndio ila Sio kwamba Hao watu wa usalama barabarani wapo kila hatua. Hapa ni suala la wajibu Kwa kila mmoja kama raia.

Kama ishu ni mwendo je abiria wanachukua hatua gani? Kama kila kitu tutaachia serikali na sisi raia kubaki kulalamika mbona tutazidi kuumia na kuteseka sana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwann unasemanhakuna serikali ?

Kuna vitu vingine ni Binafsi sana haviitaji serikali ikufuate nyuma nyuma sanaa,

Kama serikali ina katazama over speed na mtu ana over speed sasa hapo unataka serikaki ije ikuombe kwa magoti upunguze speed
Usipinge sana Mkuu, hatuna serikali usimamizi umelegea sana awamu hii katika kila idara.
 
Kifupi alitaka kusema.
Serikali inataka mpaka Nani afe kwa ajali ndio ianze kuwachukulia madereva wa serikali na madereva uchwara hatua?
Ni hayo tu.
Mimi ningekua ndio serikali ningetoa AMRI kwamba maximum speed on Tanzanian roads ni 55kph.
Hata Kama mabasi yatafika Arusha baada ya masaa 24 potelea mbali lkn wasio na hatia wamefika salama.
Acha upumbavu mkuu ,speed sio sababu pekee au kubwa inayosababisha ajali hizi, tatizo kubwa ni barabara zetu bado sana, ni mbovu na zimejengwa chini ya viwango na hazitoi nafasi ya kujihami ,barabara gani ina yellow line?,barabara zetu ni finyu mno pls mkuu kama una uwezo fika zambia na angalia ule mkeka unaojengwa kati ya isoka na chisali!
 
kumbe na wao ndiyo wanajenga saivi? Halafu wanajenga eneo hilo tu, vipi kuhusu maeneo mengine?
 
Hapana mkuu, wana barabara nzuri mno ya kutoka Lusaka hadi Chilundu, Lusaka hadi Kazungula, Lusaka hadi Chipata, wapo above us kwenye UBORA wa barabara
 
Back
Top Bottom