Singida United wameungana na Simba nusu fainali kombe la SportPesa

Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,608
Timu ya mpira Wa Miguu ya Singida United inayoshiriki Michuano ya Kombe la SportPesa huko nchini Kenya imefanikiwa kuingia hatua ya nusu fainali baada ya kuitoa FC Leopard ya Kenya kwa mikwaju ya penati. Singida itakabiliana na Gor Mahia katika hatua ya nusu fainali huku Simba ikichuana na Kakamega Homeboys.
Mshindi wa Mashindano haya atakwenda kucheza na Timu ya Everton inayoshiriki ligi EPL ya nchini Uingereza.

Screenshot_20180605-173545.png
 
Nimewaona vijana. Golo keeper wao yupo vizuri sana! amezuia mikwaju kadhaa ya FC leopard
Wachezaji wa ndani inabidi wajipange vizuri kwenye nusu Fainali.
 
Timu ya mpira Wa Miguu ya Singida United inayoshiriki Michuano ya Kombe la SportPesa huko nchini Kenya imefanikiwa kuingia hatua ya nusu fainali baada ya kuitoa FC Leopard ya Kenya kwa mikwaju ya penati. Singida itakabiliana na Gor Mahia katika hatua ya nusu fainali huku Simba ikichuana na Kakamega Homeboys.
Mshindi wa Mashindano haya atakwenda kucheza na Timu ya Everton inayoshiriki ligi EPL ya nchini Uingereza.

View attachment 794903
Mbona hujatupa matokeo ya Simba
wana wa nyumbani hao.... hongera yaooooo
 
Back
Top Bottom