Singida United timu yenye wadhamini wengi kushinda vilabu vyote kusini mwa jangwa la sahara

Singida Utd itaporomoka tu, labda kama siyo ya wananchi. Mnaikumbuka Mbeya City?
 
Big up sana kwa mwigulu timu ina udhamini wa
1.Yara
2.sportpesa
3.NMB
4.ORYX
5.PUMA
6.Azania
7.Halotel

Bado kuna
1.azam tv
2.vodacom

Simba na yanga mnakwama wapi?

Hivi huyu Festo Sanga ndo miliki wa Singida?
 
Hivi huyu Festo Sanga ndo miliki wa Singida?
Yeye ni meneja tu amewekwa na mwigulu sababu alikuwa kijana wake alimsaidia sana kipindi cha nyuma ndo aliratibu yale maandishi yote barabarani na kwenye mawe ya MWIGULU RAIS 2015 timu ni yawanahisa wawili mwigulu na yule tajiri mwenye mabasi ya royal
 
nadhani majibu yana patikana huko... watu wana kula mikataba ya pesa... ni billions... sio millions... na zikiwa millions... ni nyingi zilizo vuka nusu...! nashangaa sana watu wana kuja na unazi hapa usio na msingi...

hizo kampuni zilizo wadhamini hao singida, mbeya city, ndanda, mbao... zina tamani siku moja zipate fursa ya kuwa sehemu ya udhamini ktk hizi klabu kubwa na kongwe... maana zina ushawishi na mashabiki na wapenzi na wanachama... wengi zaidi ya klabu nyingine yoyote tanzania... bado sina data za africa mashariki...

thamani za klabu nazo ni kubwaaaaaaaa sana... kuliko zingine zozote tanzania.... lakini mtu ana kuja na kauzi ka kishabiki na unafiki... na watu wenye akili timamu ambazo hawa zishughulishi ktk kufikilia wana unga mkono upuuzi...
 
Big up sana kwa mwigulu timu ina udhamini wa
1.Yara
2.sportpesa
3.NMB
4.ORYX
5.PUMA
6.Azania
7.Halotel

Bado kuna
1.azam tv
2.vodacom

Simba na yanga mnakwama wapi?

Mf. wa udhamini wa upatao............
1.Yara........................................................40M
2.sportpesa................................................900M
3.NMB........................................................70M
4.ORYX.......................................................100M
5.PUMA.......................................................500M
6.Azania.......................................................50M
7.Halotel......................................................150M

Bado kuna
1.azam tv....................................................200M
2.vodacom..................................................300M

Jumla.........................................................2.4B

Simba na yanga mnakwama wapi?

Yani huu ndio udhamini ambao Simba na Yanga wana takiwa kuupata?

wakati leo Yanga ana Sign Mkataba wa 3B huku kukiwa na kipengele cha ongezeko za pesa za udhamini na sio anguko la pesa za udhamini.....
 
Ujinga mwingine muwe mna kaa nao nyumbani kwenu....

Simba ktk mchakato wa zabuni ina semekana... Azam walitoa 40B.... na 20B Mo.... lakini kuna vigezo vyao walivyo angalia waka mpa wa 20B....

sasa tukisema leo tuweke leani Singida Utd sijui kama 10B zitafika...
 
bado sana ndio kwanza msimu wa kwanza kama ilivyo kuwa kwa Mbeya city, mbao... nk... wana itaji muda...
 
Big up sana kwa mwigulu timu ina udhamini wa
1.Yara
2.sportpesa
3.NMB
4.ORYX
5.PUMA
6.Azania
7.Halotel

Bado kuna
1.azam tv
2.vodacom

Simba na yanga mnakwama wapi?
utitili wa wadhamini kwa kiwango cha sh ngapi????? maana wengine hapo hata m1 haifiki
 
Big up sana kwa mwigulu timu ina udhamini wa
1.Yara
2.sportpesa
3.NMB
4.ORYX
5.PUMA
6.Azania
7.Halotel

Bado kuna
1.azam tv
2.vodacom

Simba na yanga mnakwama wapi?
Umesahau kwamba ni timu ya waziri tena wa wizara nyeti na hao wadhamini ni Mabepari?
 
Back
Top Bottom