Singida United timu yenye wadhamini wengi kushinda vilabu vyote kusini mwa jangwa la sahara

shabiki kindaki wa simba ila siasa inaiharibu simba mabilioni ya usajili hayafanani na mpira unaochezwa.Big up singida united
 
Hao singida na udhamini wao wote huo lkn bado output ndogo sana...




C bora angepewa hata TZ Prisons tu....
 
Back
Top Bottom