SINGIDA: Lori lililobeba sukari lagonga punda

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,277
15,522
Lori lililokuwa limebeba shehena ya sukari tani 1.5 likipeleka Arusha limepata ajali baada ya kugonga punda 19 na kuua 16 kati yao. Punda hao walikua wakiswaga toka Singida vijijini kuelekea Dodoma. RPC wa Singida Thobias Seyodeka athibitisha.

Sukari ni sheeeeeeedaaah...imeshaingia laana..wafanya biashara achene hujuma yatawakuta mengi
 
Kwahiyo kugonga punda ni hujuma? Hiyo ni ajali kama ajali nyingine au kwa vile lilibeba sukari?
 
Umejuaje kama hiyo sukari ni ya wafanyabiashara kama ni ile ya serikali je?

Kwani kile kiwanda cha kusindika nyama ya punda bado kinaendelea?
 
Lori lililokuwa limebeba shehena ya sukari tani 1.5 likipeleka Arusha limepata ajali baada ya kugonga punda 19 na kuua 16 kati yao. Punda hao walikua wakiswaga toka Singida vijijini kuelekea Dodoma. RPC wa Singida Thobias Seyodeka athibitisha.

Sukari ni sheeeeeeedaaah...imeshaingia laana..wafanya biashara achene hujuma yatawakuta mengi
Mkuu kwa nini asitumie pick up, maana tani moja na nusu kubeba kwa lory ni matumizi mabaya ya rasilimali
 
Lori lililokuwa limebeba shehena ya sukari tani 1.5 likipeleka Arusha limepata ajali baada ya kugonga punda 19 na kuua 16 kati yao. Punda hao walikua wakiswaga toka Singida vijijini kuelekea Dodoma. RPC wa Singida Thobias Seyodeka athibitisha.

Sukari ni sheeeeeeedaaah...imeshaingia laana..wafanya biashara achene hujuma yatawakuta mengi

Bange mbaya sana umekula kitu cha R nini?.tani moja na nusu ndio utwambie lori limesheni sukari? Hiyo tani moja na nusu kwa ujazo wa kilo hamsini ni mifuko 30 tu na hiyo mifuko 30 inabebwa na kirikuu
 
Mkuu hujaelewa...soma tena...imeandikwa limebeba shehena ya sukari sio limesheni sukari...ndo maana mamaa faiza Foxy anasemaga shule mnaendaga kusomea ujinga
 
Back
Top Bottom