Singida: Kiwanda cha Alizeti Mount Meru Millers Ltd kimefungiwa

Teh Teh Teh hilo ndiyo jiwe

Na kuna wakati aliwahi kukiri kuna muda huwa anakuwa frustrated kwa lugha rahisi huwa dish linayumba halafu bado kuna popoma humu bado zina matumaini na hili jiwe.


Just Hahaaa haaaa!!!!
 
!
!
Huyu huku anafungua kiwanda huyu kule anafunga kiwanda.

Hivi wamerogwa na nani?
Hii habari imenitia hasira sana, usingizi umekata. Yaani watu wanamfanya rais mfalme j.u.h.a. Anatumia muda na mamilion ya pesa kupeleka msafara kwenye kiwanda kilichofungiwa na waziri wake na wanamdanganya kwamba wamejenga kiwanda kumbe wamezibua mtaro wa maji taka tu basi kimekuwa kipya. Ujinga gani huu?
 
Kufungwa kutaathir mamia ya watu kiuchumi ila kutaokoa maelfu ya watu kiafya
Try this...kitaathiri maelifu ya watu kiuchumi na kiafya pia ( mostly sunflower oil consumers) ila (may be,if not politically motivated) kinaweza okoa mamia ki afya
 
jingalao

cocochanel

Njoeni mumpongeze Raisi kwa kufanya remix ya uzinduzi wa kiwanda.

Magafuli oyeeeeeee viva jpm


Me nasubiri akienda kufanya remix ya kuzindua kiwanda cha DANGOTE nihame inchi.

Cha ajabu ni nini hapo?
Umesaka info kujua sababu haswa au umekurupuka.. eeeeh

Unataka kuamia wapi njoo hapa kijijini ule organic food kwa raha tele tele..
 
Back
Top Bottom