Singida: Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Mhintiri, Nicholas Andrea Gui auawa kwa kukatwa mapanga

Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Mhintiri, Jimbo la Singida Magharibi ameuawa kwa kukatwakatwa na mapanga kwenye mashamba yake.

Amepatikana akiwa amefariki. Nimepata taarifa wakati huu nikitoka kwenye Mkutano wa Kampeni Kijiji cha Mayaha, Kata ya Minyughe.

Nimewasiliana na OCD Wilaya ya Ikungi.

Hemedi Kulungu, Mgombea Ubunge Singida Magharibi!
This is terrible
 
Nasubiri tamko la Magufuli la kukamata wauaji haraka kama alivyotamka alipouawa yule wa Iringa hapo ndio tutajua maendeleo yana chama au la
Kwani BBC, DW, Fatuma, n.k wameshatoa tamko kuhusu tukio la Iringa?
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom