Singida hatuhitaji rushwa ya maendeleo?

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,326
Tumeshitushwa sana kwamba jimbo la Tundu Lissu limetelekezwa na hata jjna lake umeshindwa kilitaja eti umesahahu hadi unauliza kwa watu.


Hivi ni nani asiyejua kwamba Tundu Lissu ji jina ambalo halita toka kichwani mwako hadi uingie kaburini?


Kwa vyovyote vile kwa kauli ulizozitoa ni kejeli kubwa sana kwa wana Singida pamoja na watanzania wote.

Kama ni muumini wa umoja wa kitaifa haya makovu lazima yapatiwe majibu ya wazi.

Tundu Lissu, Ben Saanane, Azori ni majini ambayo hayata acha mti mwovu usalie.

Maendeleo ya kweli huanza na haki za binadamu wenzio.

Singida tunahitaji majibu ya kueleweka juu ya nani aliruhusu uhai wake kutolewa.

Mungu wa Tundu Lissu hana haraka, kulazimisha toba.

IMG-20190914-WA0046.jpeg
 
Mimi namuona rais kama ni mtu hatari sana amejaa hasira, visasi na unyama lakini amejificha kwenye koti la dini kujifanya mcha Mungu na muda wote akitaka aombewe na akitaka watu wamtangulize Mungu lakini anayowaza na kutenda ni tofauti kabisa
 
Back
Top Bottom