Singida: Godbless Lema ameachiwa kwa dhamana leo, baada ya kushikiliwa Polisi tangu Jumatatu Machi 2, 2020

Nawaza na kukosa majibu,hivi hao polisi endapo tume huru ikaundwa kuchunguza vifi hivo,je ikibainika kweli hawakufanya uchunguzi na wahusika wapo mitaani,aibu hiyo wataweka wapi?
 
Wnaijua kazi yao vizuri, nasi tujue pa kuropokea na pasipo stahili. Mtu unayo majina ya Marehemu waliouwawa, na unaficha ya watuhumiwa au yale majambazi waliofanya unyama huo, kwa sababu ya kuyatumia majina ya hao wauwaji, kwa manufa ya kujijenga kisiasa.

Lema faida aliyoitaka ni kuufanya uhasama huo kama mtaji wa kisiasa, ni lazima upingwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la kushabikia jambo usilolijua, Lema alipewa orodha naye kwakua hana uhakika akalitaka jeshi la polisi lifanye uchunguzi narudia jeshi la polisi lifanye uchunguzi, bahati mbaya Lema ni Chadema hivyo badala ya kufanya uchunguzi wanamkamata, shida ni kiswahili.
 
Sheria ya makosa ya kimtandao, mtoa taarifa kabla hujaitangazia dunia jambo lazima uwe na uhakika na uwasilishe mahali sahihi.
 
Kama wanaijua kazi yao ni kwanini waliendelea kumshikilia zaidi ya muda unaoruhusiwa kisheria?mpaka Chadema walipotoa tamko kwamba watachukua hatua ndio wamemwachia?

Na hio sio Mara ya kwanza na sio kwa kesi hio tu,ni hawajielewi na wanatumika
Wnaijua kazi yao vizuri, nasi tujue pa kuropokea na pasipo stahili. Mtu unayo majina ya Marehemu waliouwawa, na unaficha ya watuhumiwa au yale majambazi waliofanya unyama huo, kwa sababu ya kuyatumia majina ya hao wauwaji, kwa manufa ya kujijenga kisiasa.

Lema faida aliyoitaka ni kuufanya uhasama huo kama mtaji wa kisiasa, ni lazima upingwe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wnaijua kazi yao vizuri, nasi tujue pa kuropokea na pasipo stahili. Mtu unayo majina ya Marehemu waliouwawa, na unaficha ya watuhumiwa au yale majambazi waliofanya unyama huo, kwa sababu ya kuyatumia majina ya hao wauwaji, kwa manufa ya kujijenga kisiasa.

Lema faida aliyoitaka ni kuufanya uhasama huo kama mtaji wa kisiasa, ni lazima upingwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni ZEZETA sana.polisi walikuwa wapi? Siku zote kuwakamata WAHUSIKA?. Tatizo ni kuwa mnataka mkiuwa watu wasiambiwe na wala wasijue kuwa mmeuwa. Sikia amuwezi kuuwa isijulikane.

Tunawajua sana mawazo mlimuuwa peupe na mchana.polisi walimkamata nani mpaka leo. Wewe ukitumwa kuuwa kaue tu ila juwa itajulikana tu sababu Mwenye MBINGU YUPO NA ANAONA
 
Watuhumiwa ndo wanachunguza.polis wetu wanaongoza kwa uvunjaji Wa sheria, kama mbunge anawekwa ndani muda wote huo kinyume Na sheria, vipi RAIA Wa kawaida.kama RAIA mwema sifurahishwi kabisa Na utendaji Wa jeshi letu La piolis
 
Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA), Godbless Lema ameachiwa kwa dhamana leo, baada ya kushikiliwa Polisi tangu Jumatatu Machi 2, 2020

Lema alienda kuripoti Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi wa Polisi (RCO) Arusha kama alivyotakiwa kufanya baada ya kupigiwa simu na Polisi ambao walienda kwake na kumkosa

Baada ya hapo alisafirishwa kwenda Kituo Kikuu cha Polisi Singida ambapo alihojiwa akituhumiwa kutoa taarifa za upotoshaji zenye lengo la kuchonganisha Jeshi hilo na Wananchi

Aidha, Katibu wa CHADEMA Wilaya Singida Mjini, alisema Lema alimwambia kuwa kosa analodaiwa kutenda ni kutaja orodha ya watu 14 waliouawa Manyoni kwa kuchinjwa na kuchomwa moto.

PIA SOMA:
Godbless Lema aitwa na Ofisi ya RCO Arusha, asafirishwa na Polisi usiku kwenda Singida
Shida huwa mnaandika as if watu wote wanao soma hapa Jf wako eneo la tukio.
Hebu tuambie kapewa shamana na polisi au kapandishwa mahakamani kapatia dhamana mahakamani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom