SINGIDA FORMU:

Blessed Jr

Senior Member
Nov 17, 2016
134
235
habari wana jamvi, kutokana na kutokuwa na Forum ya Mkoa wa Singida, binafdi nimeona tukutane hapa ili kujuzana maswala mbalimbali yanayohusu mkoa wa Singida na tuweze kujadiliana na kuusaidia Mkoa wa Singida.
Ukiwa Mbunge, DC, RC, RAS, DAS, MKURUGENZI na yeyote wa Singida basi huu ndiyo uzi wetu watu wa Singida.
Karibuni sana,
Nawasilisha.
 
Singida formu?, na sie tuliofanya kazi singida baadaye tukahama tunaruhusiwa kuingia?
 
:(:(:( Mmeshaanza ukabila? Haya majadiliano mema...
Mimi sio mtu wa Singida ila kwa kuwa nafanya kazi Singida na kwa mantiki hiyo kwangu ni Singida nimeona sio mbaya kuwa na Jukwaa la Mkoa wa Singida ili kuuendeleza mkoa wa Singida. Mtu yeyote mwenye kuchangia chochote katika kuendeleza mkoa anakaribishwa. Tanzania ni moja tuendeleze mikoa yetu.

Katika kuandika SINGIDA FORUM, nimejikuta nakosea herufi, mod plz sahihisha herufi kwa heading
 
Okay, umesomeka mkuu...
 
Mtu akisema watu wa singida au wa dar forum ni ukabila?hajataja wanyaturu au wanyiramba,kasema wa Singida,sasa huo ukabila uko wapi?....ntarudi
 
Bandika matangazo huko Singida mkutane... Hapa unapoteza muda.
 
Back
Top Bottom