SINGIDA: Diwani azuiwa kuongea kwenye mkutano kwa ulevi

Babu wa Kambo

JF-Expert Member
May 2, 2016
559
808
Siku chache baada ya Rais John Magufuli kumvua Charles Kitwanga uwaziri wa Mambo ya Ndani kwa kulewa akiwa kazini, Diwani wa Kata ya Ikhnoda mkoani Singida amezuiwa kutangaza mchango wa madawati kwa tuhuma kuwa alikuwa amelewa.

Tukio hilo lilitokea juzi kwenye mkutano wa harambee ya kuchangia madawati kwa shule za Msingi na Sekondari za Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Mgeni rasmi wa harambee hiyo alikuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini (CCM),
Lazaro Nyalandu.


CHANZO: Mwananchi
 
Back
Top Bottom