SINGIDA: Dereva atiwa mbaroni kwa kuachia usukani na kuanza kucheza wimbo wa msanii Darasa

Huyu ni katika wapumbavu wa hali ya juu. Hivi unawezaje kuhatarisha maisha ya abiria kisa kucheza muziki?!!!! Kwanini asingeegesha pembeni akacheza huo muziki wake?!!!!
 
RSA ni ufupisho wa Road Safety Ambassadors, mabalozi wa hiari wa usalama barabarani. Ni kundi la hiari lenye wanachama zaidi ya 25,000 katika facebook, Whatsapp na Telegram. Kazi zao kuu ni kutoa elimu kwa raia kupitia mitandao na face to face na wadau wa usafirishaji, Wakiwemo wasafiri na watumiaji wa vyombo vya moto, waendesha baiskeli na waenda kwa miguu. Pia mitandao hii hutumika kuripoti uvunjifu wa sheria za usalama barabarani. Lengo kuu la RSA ni kusaidia kupunguza ajali, kama si kumaliza kabisa kwa kutoa elimu tajwa hapo juu. Mwananchi yeyote mwenye akili timamu na umri wa kuanzia miaka 18 anaruhusiwa kujiunga na makundi hayo BURE kabisa ili aekimike, aelimishe na kusaidia kupubguza ajali. Karibu. Mie ni mwanachama wa kunfi la Facebook la RSA!
asante kwa , maelezo yako,nimeelemika
 
Amenikumbusha video moja dereva Wa lori huko America ya kusini akicheza charanga moja matata. Niliona kwenye FB page ya EA Radio.
 
Back
Top Bottom